Subir niangalie cha kuchukua hapa mkuu asanteUnakunywa pombe mkuu, unazitafuna sana mbususu, hiyo ni hatari inaua Nuru ya usoni, vi mazoezi achana na makitimoto, usifanye sana KAZI Tenga muda wa kulala sana jmosi jpili lala sana Fanya mazoezi ya ndani kama pish upu sits up nk, usipende kukaa juani achana na ma viyoyozi AC
Hahaha unaijua Skuli ya Turkish maarif SOS hile ya Mombasa?Kipindi naingia zenji nilikua nachoma nyama stone town wale madogo wa hapo walikua wanakuja kukimbizana sana hapo ofsini, nilikija KUACHA asee nimepita juzi salale siamini majicho wale madogo wamepanda hewani mabesi kama yote hata hawanisalimi tena dah
Hahaaa sijawahi ishi Mombasa Wala kufika mkuu ni zenji tuHahaha unaijua Skuli ya Turkish maarif SOS hile ya Mombasa?
Pale imekaa mituruki aisee na waznz utasema wababaš wakiwa wanaendesha scooter wanavyoenda skuli utasema wababaš
Turkish maarif ipo zenji Mombasa kama unaelekea kiembe samaki,SoS ni skuli ya waturuki,, campus yao ipo kidimni kwambani inaitwa Haci ayse var school.Hahaaa sijawahi ishi Mombasa Wala kufika mkuu ni zenji tu
Kiembe samaki napapata ila hiyo skuli siipati, mkuu ulihama zenj kitambo sanTurkish maarif ipo zenji Mombasa kama unaelekea kiembe samaki,SoS ni skuli ya waturuki,, campus yao ipo kidimni kwambani inaitwa Haci ayse var school.
Oooh kumbe,ipo Mombasa zamani ilikuwa inaitwa FEZaKiembe samaki napapata ila hiyo skuli siipati, mkuu ulihama zenj kitambo san
Zenji ulihama zamani auOooh kumbe,ipo Mombasa zamani ilikuwa inaitwa FEZa
Hapana,sijahama nakujaga home kwahani mchanga mwingi,Zenji ulihama zamani au
Aha kumbe we mzenji?Hapana,sijahama nakujaga home kwahani mchanga mwingi,
Kwa hani ndio njia ya kwenda AMANI uwanjaniAha kumbe we mzenji?
Mimi hadi kunipiga wanaweza aisee, inamiili balaa.Muonekano wangu mdogo, ila umri mkubwa.
Hata wale Madogo niliowabeba Mgongoni, Leo hii wanaonekana wakubwa kuliko mie.
Umri mkubwa muonekano kama nimezaliwa 2000Hivi watu wakikutazama kwa maisha tuliyonayo Kati ya umri wako na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?
Eeh,ndiko barabara kuelekea airport na huko iliki hiyo shule ya kiturukk,,, hapo Kwa hani ni karibu na kariakoo.Kwa hani ndio njia ya kwenda AMANI uwanjani
Aha ukija basi naomba tuonane nataka oa mzenji mkuuEeh,ndiko barabara kuelekea airport na huko iliki hiyo shule ya kiturukk,,, hapo Kwa hani ni karibu na kariakoo.
Sasa kariakoo ukivuka barabara si unaingia KISIWA nduliEeh,ndiko barabara kuelekea airport na huko iliki hiyo shule ya kiturukk,,, hapo Kwa hani ni karibu na kariakoo.
Kwa hani ipo kati,si mbali na kariakoo ni dk tu,kama unatokea mjini kuelekea jango'ombe unashika bomaniSasa kariakoo ukivuka barabara si unaingia KISIWA nduli
Aha nishapapata vipi, ulihamia baraKwa hani ipo kati,si mbali na kariakoo ni dk tu,kama unatokea mjini kuelekea jango'ombe unashika bomani
Hata mke wangu anasema nilimdanganya miaka.Hivi watu wakikutazama kwa maisha tuliyonayo Kati ya umri wako na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?