cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂 kwa kweli.Mimi hadi kunipiga wanaweza aisee, inamiili balaa.
😂😂😂 kwa kweli.Mimi hadi kunipiga wanaweza aisee, inamiili balaa.
Kwanini?Coc umenipa faraja sana na furaha isio kifani
Umri 70yo. Muonekano: bado nadai kabisa— yaani kama kijana wa 30yo.Hivi watu wakikutazama kwa maisha tuliyonayo Kati ya umri wako na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?
Kipindi hicho jf cjui nilikua mtoto, cjui nini, nilikuaga na ndoto ya kuja kukuoa uwe mke wangu, Kuna member NILIMFATA dm cmkumbuki nikamuomba anikitanishe na wewe,wee alini washia moto ilikua kesi kubwa , sikua nafaham mana ya j forum, badae nilikija kuhis huenda alihis mi nimtu nisie julikana mana aliongea maneno makali, alafu hio kesi ilifululiza mpaka nikaiogopa jf kwa kweli na ukizingatia nilikua bado sana na jf niliingia bila hata kujua niliingiaje kwa kweli nimepitia changamoto SANA, all in all, coc nakupenda sana since day one, samahan ka nimekukosea.Kwanini?
Unamfahamu vizuri cocastic? Unajua maana ya jina cocastic?Kipindi hicho jf cjui nilikua mtoto, cjui nini, nilikuaga na ndoto ya kuja kukuoa uwe mke wangu, Kuna member NILIMFATA dm cmkumbuki nikamuomba anikitanishe na wewe,wee alini washia moto ilikua kesi kubwa , sikua nafaham mana ya j forum, badae nilikija kuhis huenda alihis mi nimtu nisie julikana mana aliongea maneno makali, alafu hio kesi ilifululiza mpaka nikaiogopa jf kwa kweli na ukizingatia nilikua bado sana na jf niliingia bila hata kujua niliingiaje kwa kweli nimepitia changamoto SANA, all in all, coc nakupenda sana since day one, samahan ka nimekukosea.
Mkuu sijui mkuu🤣Unamfahamu vizuri cocastic? Unajua maana ya jina cocastic?
Nimeshangaa huyu RC amezaliwa 1984.Nimeshangaa Sana kuona mtume bulldozer Mwamposa ni agemate!
Tutafute pesa aisee.