Umri na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?

Kuna katoto ka watu nimekutana nako. Nilivyogundua miaka yake basi nikajipunguza miaka 5 nikakiambia miaka yangu eti hakijaamini kinasema nakidanganya, kanasema nikikazidi sana ni miaka mitatu tu, kangejua nakazidi miaka 12😁
 
Subir niangalie cha kuchukua hapa mkuu asante
 
Hahaha unaijua Skuli ya Turkish maarif SOS hile ya Mombasa?

Pale imekaa mituruki aisee na waznz utasema wababa🙌 wakiwa wanaendesha scooter wanavyoenda skuli utasema wababa🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…