Umri na muonekano wako kipi kinaonekana kikubwa?

Kipindi hicho jf cjui nilikua mtoto, cjui nini, nilikuaga na ndoto ya kuja kukuoa uwe mke wangu, Kuna member NILIMFATA dm cmkumbuki nikamuomba anikitanishe na wewe,wee alini washia moto ilikua kesi kubwa , sikua nafaham mana ya j forum, badae nilikija kuhis huenda alihis mi nimtu nisie julikana mana aliongea maneno makali, alafu hio kesi ilifululiza mpaka nikaiogopa jf kwa kweli na ukizingatia nilikua bado sana na jf niliingia bila hata kujua niliingiaje kwa kweli nimepitia changamoto SANA, all in all, coc nakupenda sana since day one, samahan ka nimekukosea.
 
Unamfahamu vizuri cocastic? Unajua maana ya jina cocastic?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…