Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

Leta facts hapa tuone kama zina mashiko.
 
Mapenzi.... Hayanaga umri wakati mwingine....
Kikubwa usieende against the law¡
 
wazazi au walezi wa binti ni waroho,, kischana kirembo alf kibichi wanakitupa kwa mzee kikongwe hivyo kikaanze ndoa na kuuguza mtu magonjwa ya uzeeni.... manina zao
We unauchungu nae kuliko wazazi wake? Je kama ye ndo akakubali? Mbona huku mtaani vibinti havitaki vijana vinadai hawana hela? sasa kama ye ndo kachagua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…