Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 8,072
- 8,942
Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
Na ndevu kapaka hina...sunna ya mtume π π π π π π π π
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni
Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
Vijana wanafurahiya, watamsaidia huyo mzee kupeleka moto.Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
Lamomy naogopa kukujibu maana usije ukawa wakati wa mama anaousimulia daktari huyu! Msikilize kwanza
View: https://www.facebook.com/share/v/19RELNqXU7/
Maana ni kipindi cha hasira hasira
Unaishi mkoa gani? Eti vinachukua hela vina Rudi kwao, wanatobwa we unasema wanachukua hela wanarudi kwao? Unaelewa Nini unaposikia demu kapangishiwa chumba na sponsor Mzee? Hio ni zaidi ya ndoa mana hapo demu analiwa any time Mzee anapo itaka Kwa kuhofia kutimuliwa geto, tena Bora hata huyu kaolewa ni mke halali hao wenzako wanaliwa, alafu akipatikana ingizo kipya anatelekezwa Mzee anavuta mwingine sasa yupi Bora , huyu alie olewa ambapo Mzee akifa walau ana urithi au wenzako wanaliwa wanarudi makwao kujaza wajuku na kumpeleka magonjwa Kwa mama zao.kuna mahali nimesema nina uchungu nae?,,,
kwani huko mtaani hivyo vibinti vimeolewa au huwa vinaenda kuchukua pesa na kurudi kwao
Kwani huyo Binti kashikiwa bunduki?Hiyo dini ina ubakaji wa wazi wazi
Hakuna wazee mafala zama hizi anko, labda sio muislamu halisi ungesema mengine sawa swala la kulomba hakuna Mzee wa kislamu mjinga kwenye Hilo swala, mtoto ata tiwa sana tu, na mimba atabeba, ukisha ona Mzee kavaa kibandiko allo kaa mbali hakuna fala hapo, huku mtaani tunayaonaUpuuzi mtupu huyo binti hana wazazi au ndiyo mihemko ya tamaduni zao,
Huyo mzee kiuhalisia hatoweza mtimizia huyo binti haja za mwili kikamilifu,,
Hata kumbusu sijui inakuaje na wazee wanakuwa hawana mvuto wa ngozi, sura wala joto la asili
MIHEMKO NA WAPUUZI NTAKULA NAO SAHANI MOJA
Kwamba ukifika huo umri jamaa hanyanyuki au hapandi mtungi?Huo umri wanaoa matajiri, mabinti hukimbilia kurithi mali pindi babu huyo akifa. Umri kama huo ni wa kuacha kujishughulisha na mapenzi na kutunza afya kuelekea kuaga dunia
wapo kina bibi saizi zao, wakatoane upweke hukoKapuya Style Kutoka Kaliua Tabora
Yaani vinachukua mkwanja bila ku kaa zwaa?kuna mahali nimesema nina uchungu nae?,,,
kwani huko mtaani hivyo vibinti vimeolewa au huwa vinaenda kuchukua pesa na kurudi kwao