Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
Ni kwasababu ya Umaskini tu! Ni fedheha na aibu kwa wazazi wa huyo binti wameharibu furaha ya mtoto wao milele kwa vipande vya pesa. Ndiyo mseme Kenya imeendelea? Hiyo aibu gani dunia ya leo, kina Martha Karua wako wapi?
 
Sina bando ujumbe unasemaje?
Halafu mimi bado sijafika Menopause km unamaanisha hivyo..!!
Akinadada wengi hudhani menopause ni mpaka ufike 49! Hiyo kitakwimu tunaita wastani. Kuna early menopause ambayo mwanamama anaweza kuipata akiwa chini ya hapo au late menopause akiwa hata zaidi ya 60.

Nina mifano hai kutoka kwa watu wangu wa karibu. Mama yangu alipata bahati mbaya ya kupata early menopause akiwa na umri wa miaka 35. Hiyo kitu ilileta kizaa zaa katika familia yetu.

Imagine baba alikuwa anamzidi miaka 3! Na huko kwetu kusini Vijijini elimu ya hizo wakati huo ilikuwa bado. Ilikuwa kivumbi na jasho, nguo kuchanika. Nakumbuka nikiwa mdogo just 8 years nilimkabili baba na kumuuliza: Kwanini ikifika usiku, anampiga mama? Yeye kwa upole, alinijibu; wewe bado mtoto, ukikua na kuoa utaelewa. Hilo neno lilinikaa kichwani sana. Namshukuru Mungu nilipata bahati ya kuongea naye kabla hajafariki kuwa Nisamehe nimeyaona. Wewe unafikiri Kwanini tunawafukuzia?

Late menopause Mfano ni mkwe kwani boss wangu alizaliwa akiwa na umri wa miaka 56 ingawa yeye ni last but one.

Hitimisho: siyo lazima ufike miaka 50 ndipo upate menopause, hizo ni nadharia za vitabuni but in real life inategemea mtu na mtu na Mazingira aishimo.

Samahani kwa majibu marefu, ni ugonjwa unaotokana na profession zetu. Maana topic hizo ndizo zimetukuza na kutufanya tuifahamu JF
 

Hii posti naiweka kwa kumbukumbu, mtakoma wagalatia
1785458509382.png

1785458828493.png
 
Boss alizaliwa akiwa na umri wa miaka 56? Jomba umelewa?
Kijana soma vizuri! Boss wa mwanaume ni mkewe. Subject matter ilikuwa mkwe. Hivyo mke wangu alizaliwa mama yake akiwa na umri wa miaka 56.

Tatizo mnasoma na mihemko! Mwisho wa siku, mnajidanganya. Tuliza kichwa ndipo usome andishi
 
Si mbaya sana umri mkubwa kuoa kibinti kama mzee huna changamoto za kiafya zinazoathiri afya ya uzazi. Mabinti hukubali kama wanaona watanufaika kupata sehemu ya mali za mzee. Mzee masikini hawezi kuoa binti, hana cha kumpa
Nenda vijijini, au hata mjini tu mbona wanao sana tu mkuu, mabinti wanataka kistiriwa, hujakutana na mabinti ukawasikiliza stori zao utashangaa sana , Binti anadai amechoka kichezewa na kuteseka na mapenzi lolote na liwe ye poa tu, Kuna Mzee Mmoja kule home kaoa kabinti ACHA TU kazuri balaa, kama ka arabu Fulani hivi
 
Kijana soma vizuri! Boss wa mwanaume ni mkewe. Subject matter ilikuwa mkwe. Hivyo mke wangu alizaliwa mama yake akiwa na umri wa miaka 56.

Tatizo mnasoma na mihemko! Mwisho wa siku, mnajidanganya. Tuliza kichwa ndipo usome andishi
Edit comment yako. Umeandika hovyo
 
Kama wamekubaliana sioni tatizo, tunataka kujitoa ufahamu, mbona huku mtaani mabinti hao hao wanawakataa vijana Kwa kigezo hawana hela au uwezo wa kuwahudumia? Sasa Kwa Nini wasiolewe na wazee
Yn inaonyesha ww mwnyw huelew ulichoandika.
Hao wanaume wanakataliwa kwa sababu hawana pesa na sio umri kama mada inavyosema.
 
Kuna hii
 

Attachments

  • FB_IMG_1785506667032.jpg
    FB_IMG_1785506667032.jpg
    111.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom