Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

Ukimpata unayeendana naye
1724216867453.jpg
 
Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa ya Tanzania, Mwanamke anaweza kuolewa akifika miaka 15 wakati Mwanaume anaruhusiwa Kuoa akifika miaka 18.

Suala la Mwanaume Kuoa linachagizwa na uwezo wake wa kuweza kujitegemea na uwezo wa kutunza familia Kwa maana Kwa mujibu wa Mila na desturi zetu Mwanaume ni provider.

Hata hivyo Mwanaume ana upendeleo wa kipekee kwani anaweza Kuoa hata akiwa na miaka 70 kwani bado anakuwa na uwezo wa kuzalisha wakati Mwanamke akifika miaka 45 mara baada ya Hedhi kukoma anakosa uwezo wa kuweza kubeba mimba.

Wito wangu kwako Binti mrembo, angalia umri wako na uanze kujibu mialiko ya marafiki zako wa Kiume wakikualika Dinner ama Lunch.

Huenda ikawa nafasi yako ya kuwahi Ndoa 🤗
 
Back
Top Bottom