Wenye kipato na hawajaoa wameamua, na ambao hawana na wameoa wameamua pia, na mtu kuoa au kuolewa huwa tunatofautiana dhima kuu kwa kila mtu, mwingine ni anajenga familia yake, mwingine anazuga siku ziende, na mwingine anatafuna mali hasa wanawake...
Lakin mm naona kwa mwanaume ukiwa na uhakika wa kulisha mke, kuhakikisha anavaa vizuri la kulala vizuri, basi unastahili kuoa...
Sasa ukija kwa wale wanaooa bila kipato sasa huwa wanakula mawe? Mtu ukila hata ugali dagaa kutwa mara 3 ujue una kipato maana huo ugali ubatafutwa na kupatikana baada ya kipato kufanya kazi