Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Sijambo π, sema nimebadilishiwa I'd hunikumbuki tena πShikamoo mwenyewe. Nimeamka Salama.π vipi wewe fudi. Mo mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo π, sema nimebadilishiwa I'd hunikumbuki tena πShikamoo mwenyewe. Nimeamka Salama.π vipi wewe fudi. Mo mwenyewe
Ruksa kuoa tu pale umezidiwa na nyeeege usje baka mbuz au usije kawa mwenda wazimuMamboo
Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri.
Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
Well well. Fanya nikukumbuke mkuu.ππ Tuendelee na furahaSijambo π, sema nimebadilishiwa I'd hunikumbuki tena π
Kumbe hata mie mwenye umri wa miaka 70 naweza kuoa ikibidi - ila akipatikana mtoto wa ndoa hii kuniita baba itakuwa mtihani!Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa ya Tanzania, Mwanamke anaweza kuolewa akifika miaka 15 wakati Mwanaume anaruhusiwa Kuoa akifika miaka 18.
Suala la Mwanaume Kuoa linachagizwa na uwezo wake wa kuweza kujitegemea na uwezo wa kutunza familia Kwa maana Kwa mujibu wa Mila na desturi zetu Mwanaume ni provider.
Hata hivyo Mwanaume ana upendeleo wa kipekee kwani anaweza Kuoa hata akiwa na miaka 70 kwani bado anakuwa na uwezo wa kuzalisha wakati Mwanamke akifika miaka 45 mara baada ya Hedhi kukoma anakosa uwezo wa kuweza kubeba mimba.
Wito wangu kwako Binti mrembo, angalia umri wako na uanze kujibu mialiko ya marafiki zako wa Kiume wakikualika Dinner ama Lunch.
Huenda ikawa nafasi yako ya kuwahi Ndoa π€
Mimi mwenyekiti wa JamiiForums usiku wa manane 24/25 @RaynsWell well. Fanya nikukumbuke mkuu.ππ Tuendelee na furaha
These pipo from chagga land. min -me & Hope urassa mapenzi yanawanyonga sanaππRafiki yangu anateswa sana na mapenzi nimemwambia apumzike hadi 45
HahahahaNaona toka jana nyuzi zako zipo kimkakati sana, usisahau kulipia Tangazo!
Hahahaha sio kweliThese pipo from chagga land. min -me & Hope urassa mapenzi yanawanyonga sanaππ
Goodboy. π Hata ile ya Rayns bado yakimchongo. Well up. Kazi iendeleeπMimi mwenyekiti wa JamiiForums usiku wa manane 24/25 @Rayns
Hahaa π ni mara 1 tu nimebadili na nitairudishaGoodboy. π Hata ile ya Rayns bado yakimchongo. Well up. Kazi iendeleeπ
Sauti za vilio vyenu. Zimenifikia. Bakin kwenye lanes zenu manee manee. But Mapenzi wacheniiππHahahaha sio kweli
Labda wa huko dasilam sisi wa huku migombani tukishakunywa mbege nyingi ,wala hatujaliππThese pipo from chagga land. min -me & Hope urassa mapenzi yanawanyonga sanaππ
ππ ukiona mchaga analia lia kisa mapenzi jua huyo ni chotara au kaibiwa pesa ππSauti za vilio vyenu. Zimenifikia. Bakin kwenye lanes zenu manee manee. But Mapenzi wacheniiππ
Wanaume tuna huo upendeleoKumbe hata mie mwenye umri wa miaka 70 naweza kuoa ikibidi - ila akipatikana mtoto wa ndoa hii kuniita baba itakuwa mtihani!
Hope urassa π Shombe Shombe la wapi wewe? Najua huwezi Ibiwa pesa.ππ ukiona mchaga analia lia kisa mapenzi jua huyo ni chotara au kaibiwa pesa ππ
Ukiwa tayari Kuoa, nenda Kijijini kwenu ukatafute Mke mzuri mwenye maadili na tabia njemaIssue nyingine inayofanya vijana waoe vitoto vya kike vidogo ni kwamba..
Mwanamke mwenye umri wa miaka 20 na kuendelea, huwezi kumkuta akiwa single, na ukimuoa ujue kuna mume mwingine pembeni...
Ila mimi natafuta mwenye umri wa miaka 25+ nna kipimo changu mwenyewe nakielewa
Hata vijijini hupati mwenye 25+, hapo labda ukute wale wasomi wenye roho ngumuUkiwa tayari Kuoa, nenda Kijijini kwenu ukatafute Mke mzuri mwenye maadili na tabia njema
Wengi wa mabinti wa Mjini wa Umri huo wa 25 unakuta ameshafanya Starehe zote ikiwemo Ulevi.
Yaani hata Siku ukipita naye maeneo ya Breweries pale Temeke akisikia ile harufu ya Beer pale getini anakutajia aina beet inayopikwa muda huo kwamba ni Safari Lager ama Castle light ππ