Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa ya Tanzania, Mwanamke anaweza kuolewa akifika miaka 15 wakati Mwanaume anaruhusiwa Kuoa akifika miaka 18.

Suala la Mwanaume Kuoa linachagizwa na uwezo wake wa kuweza kujitegemea na uwezo wa kutunza familia Kwa maana Kwa mujibu wa Mila na desturi zetu Mwanaume ni provider.

Hata hivyo Mwanaume ana upendeleo wa kipekee kwani anaweza Kuoa hata akiwa na miaka 70 kwani bado anakuwa na uwezo wa kuzalisha wakati Mwanamke akifika miaka 45 mara baada ya Hedhi kukoma anakosa uwezo wa kuweza kubeba mimba.

Wito wangu kwako Binti mrembo, angalia umri wako na uanze kujibu mialiko ya marafiki zako wa Kiume wakikualika Dinner ama Lunch.

Huenda ikawa nafasi yako ya kuwahi Ndoa πŸ€—
Kumbe hata mie mwenye umri wa miaka 70 naweza kuoa ikibidi - ila akipatikana mtoto wa ndoa hii kuniita baba itakuwa mtihani!
 
Ingekua wote tunapevuka kiakili mapema kwa Mwanaume ni 21yrs kwa mwanamke 19yrs

Kutokana na hali ya uchumi na Ukomavu haswa kwa nchi zetu Afrika nafikiri Kwa mwanaume ni Around 24-27 na Mwanamke 22-26
 
Sauti za vilio vyenu. Zimenifikia. Bakin kwenye lanes zenu manee manee. But Mapenzi wacheniiπŸ˜‚πŸ˜‚
😁😁 ukiona mchaga analia lia kisa mapenzi jua huyo ni chotara au kaibiwa pesa 😁😁
 
Kumbe hata mie mwenye umri wa miaka 70 naweza kuoa ikibidi - ila akipatikana mtoto wa ndoa hii kuniita baba itakuwa mtihani!
Wanaume tuna huo upendeleo

Mimi mwenyewe hapa nimegonga miaka 79 Mwezi Uliopita, na tayari dogodogo wangu hapa ni Mama Kija 😜
 
Issue nyingine inayofanya vijana waoe vitoto vya kike vidogo ni kwamba..

Mwanamke mwenye umri wa miaka 20 na kuendelea, huwezi kumkuta akiwa single, na ukimuoa ujue kuna mume mwingine pembeni...

Ila mimi natafuta mwenye umri wa miaka 25+ nna kipimo changu mwenyewe nakielewa
Ukiwa tayari Kuoa, nenda Kijijini kwenu ukatafute Mke mzuri mwenye maadili na tabia njema

Wengi wa mabinti wa Mjini wa Umri huo wa 25 unakuta ameshafanya Starehe zote ikiwemo Ulevi.

Yaani hata Siku ukipita naye maeneo ya Breweries pale Temeke akisikia ile harufu ya Beer pale getini anakutajia aina beet inayopikwa muda huo kwamba ni Safari Lager ama Castle light πŸ˜œπŸ™Œ
 
Hata vijijini hupati mwenye 25+, hapo labda ukute wale wasomi wenye roho ngumu
 
Back
Top Bottom