Nimeona watu wana kipato na hawajaoa pia nimeona wasio nakipato wameoa , hili jambo ni maamuzi tu halinaga mwongozo.Umechanganyikiwa, sio bure...
Kwa mwanaume ukishakuwa na uwezo kuhudumia au uhakika wa kuingiza kipato...
Kwa mwanamke na nyie mtuambie
Pia ni vizuri uwahi ili kuepuka kuitwa Babu au Bibi na wanao.(Jokes)Pale tu unapopata fahamu kwamba kuna kuoa na kuolewa, usingojee kesho.
Naunga Mkono hoja🙌Umri sahihi wa kuoa au kuolewa ni ukiwa hai , kama unaishi na kupumua mda wowote unaweza olewa au kuoa.
Ha ha ha[emoji3][emoji3]bila mikakati hutoboi
Ndiyo Sheria yetu ya Ndoa inavyosema.Miaka 15 huyo si mtoto mdogo, na hawezi kudumu Kweny ndoa alijitahidi ni miaka 10 basi
Wenye kipato na hawajaoa wameamua, na ambao hawana na wameoa wameamua pia, na mtu kuoa au kuolewa huwa tunatofautiana dhima kuu kwa kila mtu, mwingine ni anajenga familia yake, mwingine anazuga siku ziende, na mwingine anatafuna mali hasa wanawake...Nimeona watu wana kipato na hawajaoa pia nimeona wasio nakipato wameoa , hili jambo ni maamuzi tu halinaga mwongozo.
Hata waliosema miaka 18 ni mtu mzima walikosea, watu tunatofautiana akili na makuziNdiyo Sheria yetu ya Ndoa inavyosema.
Hapo hapo ukifumwa unatembea na Mwanafunzi wa Chini ya miaka 18 ujue unafungwa miaka 30 jela
Naona Sheria yenyewe ina kinzana na uhalisia
Basi nitaoa naweza kulisha ugali dagaa kutwa mara tatu😁Wenye kipato na hawajaoa wameamua, na ambao hawana na wameoa wameamua pia, na mtu kuoa au kuolewa huwa tunatofautiana dhima kuu kwa kila mtu, mwingine ni anajenga familia yake, mwingine anazuga siku ziende, na mwingine anatafuna mali hasa wanawake...
Lakin mm naona kwa mwanaume ukiwa na uhakika wa kulisha mke, kuhakikisha anavaa vizuri la kulala vizuri, basi unastahili kuoa...
Sasa ukija kwa wale wanaooa bila kipato sasa huwa wanakula mawe? Mtu ukila hata ugali dagaa kutwa mara 3 ujue una kipato maana huo ugali ubatafutwa na kupatikana baada ya kipato kufanya kazi
Ni kweli, japo ukienda Usukumani mabinti wadogo wa Chini ya miaka hata 15 unakuta wanaolewa kupitia zile sherehe zao za "Chagulaga"Hata waliosema miaka 18 ni mtu mzima walikosea, watu tunatofautiana akili na makuzi
Utaangalia na aina ya mke unaetaka kumuoa, kama hataki huo mlo bora uendelee kusubiri, mimi sijawahi kuishi na mwanamke kwa miaka 6 sasa, huwa najaribu kuangalia anaenifaa sionag kabisa yaani...Basi nitaoa naweza kulisha ugali dagaa kutwa mara tatu😁
Shikamoo umeamkaje moUkisema usijepishana na umri unamaanisha Kuna umri ukifika hutakiwi kuoa au kuolewa? 🤔
Sure.Utaangalia na aina ya mke unaetaka kumuoa, kama hataki huo mlo bora uendelee kusubiri, mimi sijawahi kuishi na mwanamke kwa miaka 6 sasa, huwa najaribu kuangalia anaenifaa sionag kabisa yaani...
Shikamoo mwenyewe. Nimeamka Salama.🙏 vipi wewe fudi. Mo mwenyeweShikamoo umeamkaje mo
Hakuna kitu kama hicho , niliwahi kuoa nikiwa na miaka 23 , sasa ivi nitaoa tena nikifika 45Ukisema usijepishana na umri unamaanisha Kuna umri ukifika hutakiwi kuoa au kuolewa? 🤔
KATAAA NDOAMamboo
Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri.
Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
Issue nyingine inayofanya vijana waoe vitoto vya kike vidogo ni kwamba..Ni kweli, japo ukienda Usukumani mabinti wadogo wa Chini ya miaka hata 15 unakuta wanaolewa kupitia zile sherehe zao za "Chagulaga"
Iwapo Mwanaume umejipanga vizuri kiuchumi unaweza Kuoa huyo binti wa miaka 18 lakini ukalazimika kumuongoza Kwa Kila jambo.
Maana anakuwa Hana exposure ya Elimu Wala maisha