Umri umeenda: Nahitaji mchumba aje awe mke mwenye sifa hizi ndani ya mwaka huu

Umri umeenda: Nahitaji mchumba aje awe mke mwenye sifa hizi ndani ya mwaka huu

niko hapa sina form six vigezo vingine vyooooote vipo sawa na mtoto sina
 
Chakushangaza ukute huna
Hata mtt wa kusngziwa
 
7. Kama ana mtoto then mtoto wke asizidi miaka 5. Na nipate uhakika ameshaachana na baba wa mtoto kabisa. Mimi nina mtoto mmoja so tunaweza ongeza mmoja pia. Ampende mtoto wangu asimtese.
Hapo pekundu utapataje huo uhakika?
 
sitaki wa kumnunua ....nataka wa kupendana naye..hao wa kununua wakati wao ulishapita

yupo mmoja inst anajiita Sanchoka ni mrembo mwenye umbo zur alitangaza ukiwa na mil10 tu anakubal kuolewa
 
una elimu gani dada? je upo tayari kuendelea kielimu? at least ukasoma ukapata diploma? kwa kukusaidia ...sitaki ambaye ameishia na kung'ang'ania kidato cha nne au saba. kama upo tayari kuendelea kusoma mimi sina neno. la msingi ni hayo mambo nliyoyasema na pia utayari wako.

niko hapa sina form six vigezo vingine vyooooote vipo sawa na mtoto sina
 
Umri ukishaenda hutakiwi oa maana utasababisha watoto wabaki bila wazazi
 
Jamni ivi ukitangaza ivi kama mtu ana ivyo vigezo vya nje na hana ivi ambavyo ni internal attributes si anaweza kupretend
 
Mashart meng sana mkuu, tatzo dini imekupita kushoto, ukijua mungu karahisisha sana haya maisha ila ww unayafanya yawe magum, but endelea mkuu na elim zenu
 
atakyeishi na mke ni mimi ndugu yangu usisahau hilo. na sitaki kuwa na mwanamke ambaye nitaanza tena kutaman wa nje...mfano ana miguu kaukau...then nikiona wenye chupa ya bia macho yaanze kunitoka. au nyuma ni flat kabisa na hana hips. wakati mimi napenda awe na umbo flan so naweza kuwa naye lakini nikawa napungukiwa na kitu. unasahau hata mtume alimkataa yule mwanamama mmoja ambaye alijiepeleka kwake baada ya Mtume Muhammed kumwona hana Mvuto? haya mambo yapo tangu na tangu. rejea maelezo ya sheikh kipozeo.

Mashart meng sana mkuu, tatzo dini imekupita kushoto, ukijua mungu karahisisha sana haya maisha ila ww unayafanya yawe magum, but endelea mkuu na elim zenu
 
una uhakika kwamba kinachoua watu ni umri peke yake? maana kuna jamaa juz juzi kafariki alikuwa na miaka 26 na kaacha watoto wawili. na sijui umri mkubwa sana kwa kuoa ni upi? mengi ameoa na ana watoto usishangae wewe unavuta ukamwacha mengi anaendelea kula nchi. wanakufa watu wana miaka 10 itakuwa sisi wengine wa early 30s?
Umri ukishaenda hutakiwi oa maana utasababisha watoto wabaki bila wazazi
 
una elimu gani dada? je upo tayari kuendelea kielimu? at least ukasoma ukapata diploma? kwa kukusaidia ...sitaki ambaye ameishia na kung'ang'ania kidato cha nne au saba. kama upo tayari kuendelea kusoma mimi sina neno. la msingi ni hayo mambo nliyoyasema na pia utayari wako.
[emoji1] [emoji1] kitanz kinataftwanga hv

Cc saint ivunga,inna
 
Ahaaaa nimecheka kwa herufi kubwa.sasa ndugu huku wengi tu wapambe.tunachangia hili upate kitu roho inapenda.

Shemeji yetu mtarajiwa jibu maswali yafuatayo kwa niaba ya mtarajiwa wako

1.wewe ni mrefu?
2. Wewe sio bahili?
3.kwa nn hukuweka vigezo yako?
4. Umese awe anajua kuongea Kuwait je utamfanyia interview?
5.je ukiikuta hajui kikwait cha kuongea na wazungu utajipeleka tuition?

Nb no 1,2 ni vigezo vya kila mwanamke
 
Back
Top Bottom