GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
- Thread starter
- #41
ukiona nimeweka vigezo vikali au vizuri ujue ninajiamini sana. kwa nini niwe mbahili kwa mwanamke ambaye tunapendana? lakini kwa kuuliza hilo swali tu kwa wewe unakuwa umejiondoa kwenye mchuano. kwa nini ufikirie kuhongwa tu? wanawake wa namna hiyo kiukweli siwapendi. wanaotegemea kuhongwa au anayeuliza kama ni mbahili au si mbahili ujue anapenda sana pesa....huyo kwa mke simtaki maana hata kama nina hela naamini kuna walionizidi. na mwanamke mwenye tamaa huwa hatosheki.
kimo changu si tatizo nina kimo cha wastani sijawah kosa mwanamke sababu ya kimo changu wa aina yoyote ile. nami huwa nakuwa na mahusiano na watoto wazuri wazuri... so hilo pia si tatizo. usisahau sasa natafuta mtu wa kukaa naye miaka mingi sana si wa kumpitia tu.....actually suala la lugha mimi napenda na naweza zungumza lugha zaidi ya 4 za kimataifa ikiwemo kiswahili na kiingereza. so akiwa na kichwa kizuri mimi ntamsomesha english ajifunze maana asiwe mtu ambaye atashindwa kuwasiliana na mimi au mtoto/watoto wetu kwa lugha hiyo.

Ahaaaa nimecheka kwa herufi kubwa.sasa ndugu huku wengi tu wapambe.tunachangia hili upate kitu roho inapenda.
Shemeji yetu mtarajiwa jibu maswali yafuatayo kwa niaba ya mtarajiwa wako
1.wewe ni mrefu?
2. Wewe sio bahili?
3.kwa nn hukuweka vigezo yako?
4. Umese awe anajua kuongea Kuwait je utamfanyia interview?
5.je ukiikuta hajui kikwait cha kuongea na wazungu utajipeleka tuition?
Nb no 1,2 ni vigezo vya kila mwanamke