Umri umeenda: Nahitaji mchumba aje awe mke mwenye sifa hizi ndani ya mwaka huu

Umri umeenda: Nahitaji mchumba aje awe mke mwenye sifa hizi ndani ya mwaka huu

Mtaani sina muda ndugu yangu nikirudi najifungia getin ndo siku imeisha.nobody knows me na i know nobody. Kazini nako wengne wameolewa wengine wan files chafu.

Ushauri mzuri naunga mkono
 
Kila la kheri ila masharti uliyoweka mengi ni ya kuombea kazi na sio mke.... TANGULIZA UPENDO MENGINE SIO MUHIMU
 
Mtaani sina muda ndugu yangu nikirudi najifungia getin ndo siku imeisha.nobody knows me na i know nobody. Kazini nako wengne wameolewa wengine wan files chafu.
Kwanini Unaishi maisha hayo, huoni kwamba sio sawa kwenye jamii inayokuzunguka!? Je hwa unashiriki matukio ya majirani zako? Unapataje taarifa wakati unajifunga getini?
 
how nakwambia ni wa ku spend nao tu. unajua sisi wanaume tuna wanawake wa ku... na wanawake wa kuoa. kwa sasa nataka mwanamke mzuri ambaye ni wa kuwa mke si akina ...... hao muda wao ulishaisha.

Yet here you are!!! Basi sawa.
 
Gudume mtangulize mungu katika hitaji lako, wewe utaona utu wa nje lakini mungu anaona ndani. Mke mwema anatoka kwa mungu pekee, dumu ktk kuomba utampata anaestahili, kila la kheri
 
Je akiwa na yote hayo lakini akawa kama shirika la ugawaji atakuwa safi.
Taja umri wako kama masaa yamekwenda darasa la saba kama anasifa anakufaa zaidi
 
Back
Top Bottom