Umri umeenda: Nahitaji mchumba aje awe mke mwenye sifa hizi ndani ya mwaka huu

how nakwambia ni wa ku spend nao tu. unajua sisi wanaume tuna wanawake wa ku... na wanawake wa kuoa. kwa sasa nataka mwanamke mzuri ambaye ni wa kuwa mke si akina ...... hao muda wao ulishaisha.
Si una uwezo wa kuwapata wa kila aina? Ikiwemo na hao wa kuoa? Au hiyo kila aina hao wa kuoa hawamo?
 
Hapana aiseeh,
Sina vigezo mkuu wengine shule tulikimbia siku nyingi nani anataka kurudishwa darasani sasahivi? Acha nimuombee apate hitaji la moyo wake [emoji26]
Najua vigezo unavyo tena vya ziada nway kila la kheri mkuu,subra huvuta kheri na kuifuta shari
 
Je akiwa na yote hayo lakini akawa kama shirika la ugawaji atakuwa safi.
Taja umri wako kama masaa yamekwenda darasa la saba kama anasifa anakufaa zaidi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dah eti la saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…