waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 387
- 349
So kwamba tunahtaji hizo pesa za wanawake,tunahitaji usawa mnao utaka hyo wa fifty fifty.kwahyo usawa kwenye pesa hakuna?,au ni vibaya kuwa na mwanamke kwenye pesa???We jamaa huu uzi umeusimamia kucha kinyama!
Fanya kazi,acha kutaka kugawana pesa za wanawake
So kwamba tunahtaji hizo pesa za wanawake,tunahitaji usawa mnao utaka hyo wa fifty fifty.kwahyo usawa kwenye pesa hakuna?,au ni vibaya kuwa na mwanamke kwenye pesa???
Ndio mwenye uziWe jamaa huu uzi umeusimamia kucha kinyama!
Fanya kazi,acha kutaka kugawana pesa za wanawake
Ndio mwenye uzi
naegemea kipande hiki ndugu , kusema unahitaji mke kwa sababu uko mpweke ni kama unajiongopea ndugu yangu!Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye.
Naomba kuwasilisha....
Hakuna nlipo bagua MTU kwa jinsi yake rejea utaelewaMleta mada kaandika mapenzi hayachagui wala hayabagui...kwanini abague mwanamke asiye na pesa?ama hata uzi hujausoma?
Halafu hakuna nilipoandika ni vibaya wala sijaandika kuhusu usawa,rejea comment yangu
Hakuna nlipo bagua MTU kwa jinsi yake rejea utaelewa
Me mchangiajiNimeandika mleta mada kaandika,wewe ndio mleta mada?
Ndio mwenye uzi
Wote akili zao ziko sawa.Hahahahh inawezekana
Huo siyo uanaume sasa. Hapo kuna tatizo.Jurjani ulisema mwanamke hatakiwi kufanya kazi lakini unaona vigezo vyenu ili mtuoe mnataka tuwe na kazi (fedha).
mkuu tafuta kwanza mengine yatafuataSitaki kupoteza muda maana kichwa cha habari kinajidhihirisha.
Natafuta mwanamke wa kuoa ila awe na hela. Najua wapo wa kunipinga na wengine wapo wa kunishauri kuwa eti "nitafute pesa ili nipate mwanamke wa kuheshimu".
Kwa mawazo yangu na ukweli niujuao ni kwamba, "mapenzi hayachagui wala hayabagui".
Natafuta mpenzi mwenye pesa maana kwa idea nilizonazo endapo tu nipata mwanamke mwenye pesa basi nitaongeza kipato chake mara mbili zaidi ya pesa alizonazo. Kama hutaki kuamini basi wewe dada nitafute PM na uwe serious kama nilivyo.
Nahitaji mwanamke wa kuoa maana nipo mpweke sana na nahitaji mtu ambaye tutaishi naye ili kujenga familia na kuwa na watoto kwaajili ya maisha ya baadaye. Natamani kupata mtu ambaye kama atakuwa anawiwa tufanye vitu vya kuishangaza dunia na JF included.
SIFA ZANGU:
Dini: Roman Catholic
ELIMU: Soma mwandiko wangu
Umri: Under 30
Kazi: ......
Kasi ya mapenzi: 1 hour for two goals (I mean Kunyanduana)
Marital status: Single
Kabila: Tutajuana PM
CONTACT: Njoo PM
Quality Intelligence: Tutapima
Mtoto: Sina
Makazi: Tutajuana PM
SIFA ZA MTU NINAYE MHITAJI:
1. AWE NA HELA
2. Kabila lolote
3. Dini yoyote
4. Aishi sehemu yoyote ile duniani
5. Anipende
NB: Kwa yeyote aliye serious naomba aje PM na nipo serious.
Mwisho: Nahitaji mke kutoka moyoni mwangu mbele ya hii public ya watu zaidi ya laki 5.
Naomba kuwasilisha....
Mkuu naona kuna ma allshababu wanakushambulia, we wapotezee tu.So kwamba tunahtaji hizo pesa za wanawake,tunahitaji usawa mnao utaka hyo wa fifty fifty.kwahyo usawa kwenye pesa hakuna?,au ni vibaya kuwa na mwanamke kwenye pesa???