Umri unaenda, nachanganyikiwa

Umri unaenda, nachanganyikiwa

OGEA chumvi ya mawe kwanza na uache uzinzi kwa muda then baada ya mwezi mmoja ulete mrejesho kuhusu hiyo namba 03

Yakukosa mahusiano imara
 
Usikate tamaa,

Kila jambo Lina wakati wake. Endelea kutafuta bila kuchoka.
 
Unaweza ukawa uko serious Ila mwenzako humuoni kwenye huo u serious so unauacha muda iongee kwenye hayo mahusiano
Lazma utafute commited man, imagine mwanaume anavo kuona hajafurahishwa na wewe, ila kaamua kusema anakupenda
 
Nipo kwenye mwendo wa kuondoka, najitahidi kujikisanya vizuri ili nikifika mbele nosike nikageuka nyuma
Lazima msikilizane na lazima mkae chini mwone kipi hakijakaa sawa.
Heshimu uongozi wa mwanaume ila usiache kumkumbusha anaposahau, tena muwe wapole na watulivu.
 
Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - Sina kazi

2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)

3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka

4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)

Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru sana Mungu.

Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema

Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa

Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
Hapo pa yesu tu ndio umeharibu. Yesu kakupa uhai?
 
Back
Top Bottom