Umri unaenda, nachanganyikiwa

Umri unaenda, nachanganyikiwa

Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - Sina kazi

2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)

3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka

4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)

Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru mungu kwasababu sikuile tulizaliwa wengi na leo hawapo.

Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema kwasababu kuna ambao wapo hukooo wapigania uhai waooo hata waweze kuamka kitandani

Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa

Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
Kwahiyo unashukuru wenzako wamekufa wewe umebak sio?
 
Umejuaje kuwa huna chochote?...
Ni nini kinachokuambia kuwa hivyo unavyovitaja ni vyovyote?..
Mkuu jifunze kutokea ndani yako na siyo nje yako....hayo yote unayoyataja ni elimu uliyomezeshwa nje yako ila ndani yako kuna kila kitu.
................................................................................................................................................................
Nina uhakika wa zaidi ya asilimia 100% kuwa pamoja na hayoyote uliyoyataja kuna wakati unakisikia ndani yako vizuri na hapo ndipo ulipo " ni wewe" patumie vizuri.
Sbukran
 
Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - Sina kazi

2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)

3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka

4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)

Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru sana Mungu.

Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema

Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa

Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
Upo mkoa gani ndugu
 
Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - Sina kazi

2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)

3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka

4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)

Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru sana Mungu.

Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema

Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa

Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
Njoo basi inbox mimi ni mwanaume nae eleweka
 
Kijijini kwenu wazazi hawana ardhi, mashamba, mifugo, mitumbwi, nyavu n.k

Jamii zingine kama za watanzania wenye asili ya Kiarabu, Kihindi, Kisomali vijana hutegemewa kuendeleza pale walipoishia wazazi.

Hili suala la kukimbilia mjini wakati wazazi hawana chochote walichowekeza mjini lakini kijijinj wana mali nilizotaja hapo paragraph ya pili ni kujiita masikini wakati siyo kweli baba wa babu alimrithisha babu, naye babu yako akamrithisha baba yako mali hizo kijijini.

Lakini wewe umezipuuza kukimbilia mjini kutaka kuigiza familia ambazo tayari walifika mjini kitambo unataka kujifananisha nazo, hilo ni kosa kubwa.

Rudi kijijini ukaendeleza pale wazazi walipoishia, ya mjini waachie ambao wazazi wao waliwekeza kitambo na usisononeke kuona wenzio wana majumba, ardhi, daldala, kampuni n.k mjini ukataka kushindana nao. Wa mjini wameachiwa na wazazi na kuendeleza.

Kifupi wewe siyo masikini, lakini hufahamu hilo. Rudi haraka kijijini.
Sijui uko wapi nikupe soda, lakini kuna ulilo liacha wacha mimi nimalizie, kama unaenda mjini basi uwe na zali, la mwisho maisha ya miji inayokuwa ndiyo mazuri kwa anaye jitafuta.
 
Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Unavo sema haupo kwenye commited relationship huwa una maana gani???..... yakubali mahusiano yako na ujue ulikosea wapi??? wanawake baadhi wanapenda maisha ghali ya kukua haraka haraka.
 
Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27

1 - Sina kazi

2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)

3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka

4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)

Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru sana Mungu.

Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema

Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa

Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
Ndg. Je, Miezi kadhaa hii ukiwa tayari na Miaka 27, Je umeshaanza weka tik kwa yepi?, Lakini pamoja na vyote ulivyosema huna, Je nini umejifunza na umepata kwa miaka 27 duniani. Tujuze kama hutojali.
 
Toka 2008 uko humu bado hujajua kuandika tuu mkuu.
😅😅😅😅🏃🏃🏃🏃🏃 tatizo ni makuzi yake kipindi anafundishwa kusoma na kuandika, mwalimu wake alikuwa na haraka sana.

Pia kuna baadhi walikatishwa shule mapema, wale wa chini ya miembe.
 
Kabisaaaaa dia hakuna kama Mungu na hajawahi kushindwa m na dada zangu wa upande wa kina mama wadogo wakikuwa hoi kuanzia mahusiano maisha nkawapa moyo sana mwisho wakanza kulia pa kulalia nkamwambia Mungu nawapa chumba kimoja wapambane nacho wamekaa kwangu 3 yrs akaolewa mmoja send-off mamake akaomba ifanyikie kwangu tulikula bata batan sijapata kuona.........wapili akapata kazi Airport gafla akaniambia na bwana ananipenda wa kithungu nkamwambia pita nae dia he she we I was were this that si unazikumbuka yes dady

Nw ana mtoto wakishombe mjomba nasubiria mahari akikua kamantakuwepo...

Never gvup
Na analipia mwanangu ada pamoja na kumkataza aliruka zaidi akaenda shule akaomba acc no nikarushiwa msg loh....

Kama una changamoto ya chumba ntafute siokikubwa kuanzia maisha nakupa bure miezi 8 mpaka mwaka uwe umepambania mwingine aingie
Mangi in the building, ngoja ninywe mbege kwanza hapa kibosho 😅😅😅
 
Back
Top Bottom