Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RelaxMwezi ujao natimiza umri wa miaka 27
1 - Sina kazi
2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)
3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka
4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)
Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru sana Mungu.
Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema
Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa
Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
Mwanamke akishapata kazi na pesa hataki kusikia habari ya mwanaume, mifano hai dada zangu wa kichagga waliojipata mapema......Punguza matumiz ya p2 angalau ata mtoto wa kukuzk usikose
Tatzo ukipata ajir utaon umepat ajir
miaka 27 bado sana....Ndio kumekuchaMwezi ujao natimiza umri wa miaka 27
1 - Sina kazi
2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)
3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka
4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)
Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru sana Mungu.
Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema
Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa
Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
Great mentalityNiko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
Broo hii ni kawaida sana sikuiz, sio kama zamani bibi zetu umri huo wana watoto watano tayar27 huna mtoto? Sijui kwann nimekua negative juu ya hii statement
Mko wachache ambao hamna watoto ndo maaana ukisema huna mtoto mtu anashangaaSijui huwa mnafikiria nini wanaume wengi
Hata mimi nikimtajia mtu umri wangu halafu nikisema sina mtoto anaguna ukichunguza anadhani ushawahi kutoa mimba kitu ambacho sio kweli
Zama zimebadilikaBroo hii ni kawaida sana sikuiz, sio kama zamani bibi zetu umri huo wana watoto watano tayar
Wala usijali kabisa, umuhimu wako kwenye ardhi hii ya dunia ni mkubwa mno kuliko unavyo dhani, huenda maisha yasinge kuwa hivi yalivyo kama usingekuwepo wewe mleta mada.
Katika hali ya kawaida kwa maisha ya mwanadamu yoyote mawazo kama haya hayana budi kuwepo haswa kwa mwenye jaliwa la akili inayochanganua, kuna msemo usemao wasiwasi ndio akili, I wish kuongea nawe private , lakini ujumla wa yote ondoa negative think , maisha ni mazuri sana.
Siku zote wakati waMungu ni wakati sahihi. na usidhani kila aliyeko humu JF ya kwamba kafanikiwa.Wengine wana magumu zaidi yako lakini hawajakata tamaa. Piga Moyo KOnde kila kitu huwa kina muda wake.Mwezi ujao natimiza umri wa miaka 27
1 - Sina kazi
2 - Sina chochote ninachomiliki (kiwanja/nyumba n.K)
3 - Sina mahusiano ambayo yanaeleweka
4 - Sina mtoto (sitamani kuwa single mama)
Hii miaka 26 niliyoishi duniani namshukuru sana Mungu.
Ninamshukuru mungu kwasababu nina afya njema
Ahsante yesu kwa zawadi hii ya uhai hata nipo huku jf naandika hayaaaaa
Miaka yangu 27 inanitetemeshaaaaaa
🌈Me ni wale walee
Unaweza ukawa uko serious Ila mwenzako humuoni kwenye huo u serious so unauacha muda iongee kwenye hayo mahusianoUnavo sema haupo kwenye commited relationship huwa una maana gani???..... yakubali mahusiano yako na ujue ulikosea wapi??? wanawake baadhi wanapenda maisha ghali ya kukua haraka haraka.
nitafute inbox 2yajenge,nipo singo,,Niko hapa na 29yrs Sina mtoto, sina mume na siko kwenye committed relationship, Sina kipato Cha kueleweka ingawa nilikuwa nimeanza kusimama yakatokea yakutokea nipo naanza moja bado sitetemeki Ila tu napambana ili nipate kuinuka Tena, kikubwa usijikatie tamaa, jifunze kwa waliofanikiwa Ila kamwe usijilinganishe na wengine Cha muhimu wewe zishinde mechi zako
😅😅😅 nmefikwa mwaka huuMdogo wangu umefika lini 30yo?