Kirumberumbe
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 982
- 1,167
Nakazia hoja. Mtu awaye yeyote, alimradi uko hai utafanya kazi tuu, taka usitake hadi siku na saa Roho yako inatoka. Hakuna cha kustaafu kazi maishani ila kuna kubadili shughuli na uzito wa kazi za kufanya. Asikudanganye mtu eti amestaafu kazi. Hamnaga hiyo kitu. Hata kuongea ni kazi..........au hujawaona watoa povu hutokwa jasho pia? 😂 😂Umri wa "kifo"kama waujua ndipo unapotakiwa ujistaafishe kazi uingie huko ambapo hutadai ugali Wala dagaa !!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app