1. Ni hoja nzuri mno muda wa kustaafu uko kisheria kuna 60/65/70 kutegemeana na aina ya kazi nk
2..Kwangu kwa utumishi mud muafaka ni miaka 65 na kumpa mtu sasa kuwa na muda wa kutosha kuwa na familia na kusimamia taratibu miradi yake kadhaa na kupata muda na wajukuu na wanae ambao kwa muda mrefu wa utumishi aliukosa…..