Umri wa kuanza darasa la kwanza uanzie miaka 10, sababu hizi hapa

Umri wa kuanza darasa la kwanza uanzie miaka 10, sababu hizi hapa

Aise kumwanzisha mtoto darasa la kwanza akiwa na miaka 10 itasababisha kesi nyingi sana za ubakaji hasa kwa watoto wa kike wa darasa la 4 mpaka la 7,Walimu wengi wakiume watafungwa. Bora umri wa balehe unavyowakuta sekondari wanakuwa na uwelewa mkubwa kuliko huo umri uwakute shule ya msingi yaani watavutwa tu bila hata kutumia nguvu.
 
Watu tunapeleka watoto wakiwa na miaka mitatu
We unazungumza ujima hapa

Aise kumwanzisha mtoto darasa la kwanza akiwa na miaka 10 itasababisha kesi nyingi sana za ubakaji hasa kwa watoto wa kike wa darasa la 4 mpaka la 7,Walimu wengi wakiume watafungwa. Bora umri wa balehe unavyowakuta sekondari wanakuwa na uwelewa mkubwa kuliko huo umri uwakute shule ya msingi yaani watavutwa tu bila hata kutumia nguvu.
Mbona zamani wengine walianza Na Kumi Na mbili Na haya hayakutokea? Tusiogope matokep ya lufikrikq tuogope qal wao kuwalea upya nyumbani qanapomaliza shule
 
Miaka 10 niko darasa la 5 we ndo unasema ningekua la kwanza??

No wayy..
La kwanza ni miaka 5 siku hizi
Mkuu wewe ni kizazi cha JK au BM? Manake vizazi vya Nyerere na Mwinyi vilianza la kwanza na 7-10 huko.
 
Wana JF

Makuzi ya binadamu wa mtanzania yanapitia magumu mengi, hivyo pia akili huchelewa kukomaa kupata uelewa wa kujifunza kitu Kwa umakini. Natoa sababu Kwa nini umri miaka 10 ndio unafaa mtoto kuanza la kwanza.

1. Umri ukiwa miaka kumi mtoto anakuwa amekomaa, huondoa woga na anaweza kuhoji kama kitu sio sahihi.
2. Waliokosa lishe bora huwa ndio wakati ambao makuzi ya akili yanakuwa sawa.
3. Mtoto hadanganyiki kirahisi na akifanyiwa vitu vya unyanyasaji wa kijinsia ana uweza wa kumweleza mama yake au baba yake.
4. Ni umri ambao vipaji huchipuka mtoto kujua anapenda nini Na ana kipaji gani.
5. Kutokukubali kuonewa na mtu yeyote Kwa kuwa sio muoga.
6. Urahisi wa kuweza masomo walimu hawapati shida.
7. Kama shule ipo mbali huyu ndiye mwenye uwezo wa kutembea umbali mrefu.
8. Akimaliza darasa la saba anaweza kusaidia shughuli za kilimo au kuanza kujitegemea
9. Hauhitaji kumlea kama mtoto ikiwa hakufaulu kuendelea na masomo.
10. Kutokana na umri anakuwa amepunguza michezo mingi hatarishi kwa kuwa tayari ana uelewa

Kumbukumbu zinaonyesha wengi waliofanikiwa wengi walianza shule wakiwa na miaka 12.
miaka ya 90 sawa, kwasababu technology haikuwa hii ya sasa, hebu tuanze kwa kumwangalia mtoto wa kike. unamwanzisha darasa la kwanza na miaka 10 aje amalize darasa la saba anamiaka 17 na form six miaka ishirini na tatu hapo ni non stop. je ataweza kwepa vishawishi vya mahusiano ili atimize ndoto zake katika hiki kipindi cha technology ya kisasa hasa na lini aanze maisha ya familia. njoo kwa mtoto wa kiume akiwa form 2 miaka 19 atashikika kweli katika kipindi hiki maadili yameporomoka namna hii akijiangalia anaweza tamani hata kumchapa mwl vibao au anamwangalia mwalimu wa kike na kuanza kumdhaminisha katika mahusiano na matamanio. zamani tuliweza kwa sababu maadili yalikuwa hayajaporomoka ila sasa mtoto akichelewa shule ndiyo ujue hataweza fanya vizuri kutokana na kujiona mjanjamjanja
 
Back
Top Bottom