umri wa miaka 40 ni umri wa kufanya maamuzi magumu kwa makini. ni umri wa ama mtu kua tajiri au maskini maisha yake yote yaliyobakiπUmri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .
Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.
We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.
Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
Yes Mkuu sometimes maturity is in mind and not age .Mkuu wewe ni miongoni mwa watu ambao nafata sana protocol zako na naamini ntakuja kufanikiwa not financially ila kiakili tuu takua sana mkuu..
Ukweli ulichokiongea ni mesoma ila nimekaa na kujiuliza huo umri ni umri ambao ni vema ukawa tayari ushakamilisha kila kitu cha msingi maana baada ya hapo hata energy haiwi tena kama ya ujana
Ila naomba mungu pia katika umri huo niwe nina NYUMBA, GARI NA WATOTO WATATU .....
Lakini kwa upande wa wazazi itajulikana huko huko
Yakuza na yavuz ni character ya series ya sozUACHE MAMBO YA YAKUZ ukizeeka π
Kwa hiyo sumu ina ulambaji wake ili isilete dhahma.bangi haina shida ikitumika vizuri.
Kifo hakina mwenyewe and science is absolute .Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.
Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
Khaaa mkuu mi mpaka 40 hapo takua mtu na heshima zangu....hahhaah wewe ndo hao 50 wa hovyo
ujirekebishe sasa
Alaa shabash kumbe muda wote anatupiga kamba! nikajua ni kautaalam ka kipua breini.Yakuza na yavuz ni character ya series ya soz
Mkuu ujue nini..Unadhani watu wanaamua kukomaa??....
Kama hukukomazwa udogoni, zamu yako ikifika. Maisha yatakukomaza
Mkuu niseme tuu ukweli mpaka nafika hapa ni YAKUZ NA YAVUZ NDO MSAADAUACHE MAMBO YA YAKUZ ukizeeka π
DaaahDo not force a button!
Kweli kabisa wala sio uongo mkuuYes Mkuu sometimes maturity is in mind and not age .
Hahaha π dah we mwamba kweli poor brain!Mkuu niseme tuu ukweli mpaka nafika hapa ni YAKUZ NA YAVUZ NDO MSAADA
Hiyo takwimu ni hatari sana, over 70% ya vifo bongo ni watu aged 50-70?Nafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.
Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
40 tu,hiyo hali huwepoUmri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .
Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.
We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.
Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
Mshangazi dot comNafikiri kikubwa huwa ni experience ambayo inaweza kuchochea EI kubwa ila kwenye IQ kama ulikuwa nayo low in your 30,s and 40,s itaendelea kuwa hivyo hivyo.
Also kulingana na takwimu, kwa Tanzania in your 50's unajiandaa kuelekea kwenye kifo, over 70% ya watu wanakufa between the age of 50 na 69.
Actually nilitumia data za zamani kwa sasa ni kati ya miaka 50 - 75.Hiyo takwimu ni hatari sana, over 70% ya vifo bongo ni watu aged 50-70?
Mkuu mi napita humo..Hahaha π dah we mwamba kweli poor brain!
π π π π