Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia


Tuavoid nini mkuu usiseme beer please!😀
 
Ni kweli mimeona mabraza wengi wakibadili maamuzi yao ya ujanani walivyofika 50, kama ulifanya maaamuzi sahh ya ujanani upande wa mahusiano, afya na uchumi huwa ni wakati mzuri wakula matunda yake. Na Kama ulipwiyanga ujanani basi ni kipindi kizuri cha majuto, omba Mungu akupe nafasi nzuri yakurekebisha vinavyowezekana.
 
Baba yangu ana miaka zaidi ya 50 tuseme 60 na kuendelea hivi na bado anavuta na bangi, sigara na pombe yaani huwa nasikitishwa sana na maisha aliyoyachagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…