Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

Tuliopo ghorofa ya sita tuna coment wap
 
Lakini mkuu mimi nataka nikifika 30 tu niwe tayari nishakomaa kihisia na kiakili
Watu wanakomaa kihisia na kiakili baada ya kupitia kuona na kushuhudia kwa kusikia pasipo na shaka mambo mengi yanayohusu jamii yake na wanaomzunguka,

Hivi vitu vinamjenga . Kwahiyo miaka 30 bado sana, unakuwa hujapevuka na jamii inakuwa haikuamini.

Niamini , mm niko 35+.
Nimeona na Naona vingi. Ila bado najua Mungu akijalia nikifika 50+ ntakuwa nimekomaa zaidi ya hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…