BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Sio wote maana wahuni na wenyewe wanazeeka...Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia.
Ukimkuta MTU ambaye yupo ghorofa ya tano anakuwa amekomaa Sana akili na hisia anakuwa na EI kubwa na IQ kubwa.
Miaka hamsini ni umri wa unaokuja na hekima Sana .
Hii unaweza kuona kupitia familia ,marfiki na wewe mwenyewe ikiwa umeshafika hapa ghorofa ya tano.
We need to Cherish every-single moment. But fifties is blessing Age.
Na ukifika 50 avoid mambo yote yanayoweza kuharibu akili na Afya ya mwili.
SitapelikiUwoga wako ni umaskini wako
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌😀 haha ngoja nitumie quote ya rais
"I mean no malice to nobody".
Mshamba weweSitapeliki
Mkuu mkuu nimepitia mengi ujue aaaaahWatu wanakomaa kihisia na kiakili baada ya kupitia kuona na kushuhudia kwa kusikia pasipo na shaka mambo mengi yanayohusu jamii yake na wanaomzunguka,
Hivi vitu vinamjenga . Kwahiyo miaka 30 bado sana, unakuwa hujapevuka na jamii inakuwa haikuamini.
Niamini , mm niko 35+.
Nimeona na Naona vingi. Ila bado najua Mungu akijalia nikifika 50+ ntakuwa nimekomaa zaidi ya hapa.
Wacha niwe mshamba lakini sitapelikiMshamba wewe
Soon ntaingia jf na ndnga humu hapo ndo taona mate yanakutokaWacha niwe mshamba lakini sitapeliki
Ndinga gani mkuu usije ukaingia na Vitz, ukategemea mate yanitoke😁😁Soon ntaingia jf na ndnga humu hapo ndo taona mate yanakutoka
Ndinga kali.. YAKUZ now imekua next level..Ndinga gani mkuu usije ukaingia na Vitz, ukategemea mate yanitoke😁😁
Wacha weee na kidhungu juuNdinga kali.. YAKUZ now imekua next level..
Mfano leo nimechukua 750k...
Next week the same just imagine it takes how long to create alot of money in one monthly enough to get nice car..
Actually it takes seven up to 3 months to ensure to be top amoung poor in jf to have a car
Nikutafsilie mkuu... Au skia copy alafu kaweke chat gpt
Kumiliki pesa au kujua code za YAKUZ na YAVUZ sio rahisi lazima ujue.lugha kama hiziWacha weee na kidhungu juu
Congratulations, if your talking the truth 🤭Kumiliki pesa au kujua code za YAKUZ na YAVUZ sio rahisi lazima ujue.lugha kama hizi
To get money or to knowing code of YAKUZ and YAVUZ is not simple she must know language like that
Hapo sio truth ni trueCongratulations, if your talking the truth 🤭
Nimejaribu usinicheke hiko kizungu
Asante kwa kunirekebisha mwalimuHapo sio truth ni true
Your welcomeAsante kwa kunirekebisha mwalimu
TrueNi kweli mimeona mabraza wengi wakibadili maamuzi yao ya ujanani walivyofika 50, kama ulifanya maaamuzi sahh ya ujanani upande wa mahusiano, afya na uchumi huwa ni wakati mzuri wakula matunda yake. Na Kama ulipwiyanga ujanani basi ni kipindi kizuri cha majuto, omba Mungu akupe nafasi nzuri yakurekebisha vinavyowezekana.
Hongera ikiwa umefika six floorTuliopo ghorofa ya sita tuna coment wap
FactWatu wanakomaa kihisia na kiakili baada ya kupitia kuona na kushuhudia kwa kusikia pasipo na shaka mambo mengi yanayohusu jamii yake na wanaomzunguka,
Hivi vitu vinamjenga . Kwahiyo miaka 30 bado sana, unakuwa hujapevuka na jamii inakuwa haikuamini.
Niamini , mm niko 35+.
Nimeona na Naona vingi. Ila bado najua Mungu akijalia nikifika 50+ ntakuwa nimekomaa zaidi ya hapa.
A k.a Wazee wahovyo
yeah, wahuni nao huzeeka.