- Thread starter
- #21
Bila shaka hapo kwenye majukumu na talaka hahahahDaah! Nimejiona hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka hapo kwenye majukumu na talaka hahahahDaah! Nimejiona hapo.
Labda kwako.MAISHA HAYANA MAANA!!
😀Kila kitu ni muhimuHivi mkuu naomba unisaidie kujua ni jambo gani la muhimu maishani niwah nsije poteza muda... sitaki regrets on my deathbed..
Ni kweli unaweza kuujua umri wangu, ila wako siujuiUmri wako nishaujua! Ukivuka utaacha kukosoa kosoa
Ndo kusema unanijua hivyo. Huh.Bila shaka hapo kwenye majukumu na talaka hahahah
Moja katika tabia njemaUadirifu ndiyo kitu gani?
Huwezi kuujua! Mimi ni taasisiNi kweli unaweza kuujua umri wangu, ila wako siujui
Lakini huenda kuna vya muhimu zaidi..,Kila kitu ni muhimu
Uadilifu Sio UadirifuUadirifu ndiyo kitu gani?
🤣🤣🤣🤣10. Miaka 51~60 ni umri wa utulivu na kumtegemea Mungu (umri huu hata ukisikia mkeo au mmeo kachepuka unaona haikuhusu)
Umri sio umli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo umli wakulaumu watu [emoji1][emoji1]
[emoji109][emoji109][emoji109]Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti
1. Miaka 1~5 ni umri wa kujifunza chochote kwa kuiga wakubwa
2. Miaka 6~10 ni umri wa msingi wa uadilifu unaodumu maishani
3. Miaka 11~17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu)
4.miaka 18~25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa (mfano; ndoto za kuwa bosi flani hivi, higher position, kumiliki mambo makubwa n.k)
5. Miaka 26~30 ni umri wa kukosoa wengine, lawama nyingi na visingizio lukuki (huu pia ni umri halali kwa jela au kifungo, usipofungwa umri huo basi huko mbeleni hata ukija kupata kesi ni rahisi kuchomoa)
6. Miaka 31~35 ni umri wa majuto na roho mbaya (pia ni umri wa kutengwa au kujitenga na mambo yako hususani kwa wanaume)
7. Miaka 36~40 ni umri wa majukumu na talaka hususani wanawake
8. Miaka 41~45 ni umri wa kujaribu nafasi nyingine ya mwisho kwa tahadhali kubwa~ last Chance (umri wa masahihisho)
9. Miaka 46-50 ni umri wa liwalo na liwe (hakunaga majuto hapa)
10. Miaka 51~60 ni umri wa utulivu na kumtegemea Mungu (umri huu hata ukisikia mkeo au mmeo kachepuka unaona haikuhusu)
11. Miaka 61~70 ni umri wa upatanisho wa imani na jamii
12. Miaka 71~80 ni umri wa kuhisi wewe ni wa Leo au wa kesho
13. Miaka 80~100 ni umri wa kutegemea mbeleko na kuona maruerue.
14. Miaka 100~zaidi ni umri wa pambo LA nyumba ( yaani unakuwa huna utofauti na picha ya ukutani au pambo la nyumbani)
Yaani....sijakua vizuri ushaingia mwingine!!Umri una mbio mnooo
OoohhhYaani....sijakua vizuri ushaingia mwingine!!
Hapa nitafika Mimi asee napaona kabisa yaani daah kumbe ntakua km picha ya ukutani tuMiaka 100~zaidi ni umri wa pambo LA nyumba ( yaani unakuwa huna utofauti na picha ya ukutani au pambo la nyumbani)
Wajukuu watakuwa wanakuja kushangaa pamboHapa nitafika Mimi asee napaona kabisa yaani daah kumbe ntakua km picha ya ukutani tu
Kila umri una mawazo na tabia yake tofauti