Umughaka jamaa mmoja hapa JF nimependa sana

Umughaka jamaa mmoja hapa JF nimependa sana

Mkuu Vifaranga200 nashukuru sana mkuu wangu kwa heshima uliyonipa,nipo pamoja na watanzania wa hapa JF na naahidi ya kwamba nitakwenda kusimulia kisa kimoja baada ya kingine kuhusu mapito ya maisha yangu ili watu wajifunze zaidi,mimi sipo hapa kwa ajili ya fedha ingawaje watu wanahitaji haya masimulizi yangu niyaandikie vitabu,ndugu zangu kama kuna mtu anahitaji kuyachukua na kuyaandika vitabu nyie chukueni mkajipatie riziki,mimi nimewaruhusu kwa moyo mweupe kabisa!.

Huwa naandika ili watu wajifunze na siyo kitaka pesa,pesa ikija kwa kile nachokiandika pia siwezi kuikataa lakini yote kwa yote ni watu wajifunze!.

Nawaahidi nitakwenda kuanza stori nyingine ya maisha yangu halisi na zipo zaidi ya 2 ukiacha ile iliyosababisha mimi kufeli form 6 kulikosababishwa na binti wa kitanga aitwaye shamima.
 
Back
Top Bottom