Mkuu Ni lazima achome hizi sindano katika ujauzito wa kwanza. Au ni kuanzia wa pili ndo muhimu zaidiYeah mkuu umemuelewesha vizuri sindano hiyo inaitwa anti-D mjamzito anachoma mimba ikifikisha miezi saba na pia ndani ya siku tatu baada ya kujifungua. cha muhimu ni kuwa muhudhuriaji mzuri wa clinic tu na iwe clinic ya hospitali inayoeleweka baada ya hiyo sindano mimba zinazofuata huchomi tena
Vipi ilikuwa ujauzito wa kwanza au wa pili mkuuMkuu mi Dr aliniandikia nikachoma wiki ya 27 na ilipofika ya 32 nilichoma tena.
Kwa mimba ya kwanza anajifungua bila shida.changamoto ni kuanzia mimba ya pili ndio inabidi achome sindanoMkuu mke wangu ni O negative mimi ni A+ kwa sasa ana mimba ya miezi 5 ni mimba ya kwanza hadi sasa bado hajapata changamoto yoyote. Je vipi anaweza kujifungua salama hii mimba..
Cha wote ndio nn sijakuelewa
Kwahyo kama ni hizo sindano tuanze kufikiria kipindi cha mimba ya pili na kuendeleaKwa mimba ya kwanza anajifungua bila shida.changamoto ni kuanzia mimba ya pili ndio inabidi achome sindano
Ndio kuanzia mimba ya pili, fuatilieni ushauri wote kutoka clinic na atakuwa poa yeye na mtotoKwahyo kama ni hizo sindano tuanze kufikiria kipindi cha mimba ya pili na kuendelea
Wa pili na kuendelea.Vipi ilikuwa ujauzito wa kwanza au wa pili mkuu
Daah! Huyo ni mwenzangu kabisa.Mkuu mke wangu ni O negative mimi ni A+ kwa sasa ana mimba ya miezi 5 ni mimba ya kwanza hadi sasa bado hajapata changamoto yoyote. Je vipi anaweza kujifungua salama hii mimba..
Aisee itabidi tukianza kutafuta mtoto wa pili tujipange haswaDaah! Huyo ni mwenzangu kabisa.
Mara baada ya kujifungua mtoto wa kwnzaMkuu Ni lazima achome hizi sindano katika ujauzito wa kwanza. Au ni kuanzia wa pili ndo muhimu zaidi
KweliIn short O wengi wapo hivyo halafu kuna hawa AB kuumwa ni kugusa tu
Usimdanganye jamaa . Atahitajika kujitolea damu kwasababu yeye ni Universal Blood donorUshakuwa An Fit.
Hufai kuajiriwa Jeshini ama vyombo vyote vya ulinzi na Usalama
Unda mkuuAu tuoane kabisa.....Ili tupate offsprings that can be purely mutant
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe tupo sawaVipi sisi O +
Uliyoongea ni kweli kabisa mim ni o positive ugonjwa wangu mkuu ni mafua siawah umwa malaria Toka nazaliwa mpaka uzee huu, [emoji3] Wala typhod Wala magonjwa mengine ila presha ndo nimeambiwa ninayo yakushukaFAida na Hasara ya kuwa na Blood Group O positive.
Hasara;
Ni rahisi kuugua kisukari na presha
kutokana na style ya maisha. (Blood Group O positive ni Vegetarian)
Ili kuepuka hayo huhitajiwa mlo wao mkuu kuwa ni mboga na matunda.
Hua rahisi sana kwao kuambukizwa mafua, kipindupindu, ,kifua kikuu, upele.
FAIDA
Ni vigumu kuumwa malaria
Typhoid ,UTI.
Miili yao hujitibu yenyewe kwa baadhi ya magonjwa.