Umuhimu na hasara za kuwa Group 0 negative

Umuhimu na hasara za kuwa Group 0 negative

Yeah mkuu umemuelewesha vizuri sindano hiyo inaitwa anti-D mjamzito anachoma mimba ikifikisha miezi saba na pia ndani ya siku tatu baada ya kujifungua. cha muhimu ni kuwa muhudhuriaji mzuri wa clinic tu na iwe clinic ya hospitali inayoeleweka baada ya hiyo sindano mimba zinazofuata huchomi tena
Mkuu Ni lazima achome hizi sindano katika ujauzito wa kwanza. Au ni kuanzia wa pili ndo muhimu zaidi
 
Mkuu mke wangu ni O negative mimi ni A+ kwa sasa ana mimba ya miezi 5 ni mimba ya kwanza hadi sasa bado hajapata changamoto yoyote. Je vipi anaweza kujifungua salama hii mimba..
Kwa mimba ya kwanza anajifungua bila shida.changamoto ni kuanzia mimba ya pili ndio inabidi achome sindano
 
Cha wote ndio nn sijakuelewa
1736516841241.png
 
Kwa mimba ya kwanza anajifungua bila shida.changamoto ni kuanzia mimba ya pili ndio inabidi achome sindano
Kwahyo kama ni hizo sindano tuanze kufikiria kipindi cha mimba ya pili na kuendelea
 
Vipi ilikuwa ujauzito wa kwanza au wa pili mkuu
Wa pili na kuendelea.

Yaani ilivyo baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa kwanza wakimcheki blood group mtoto ikiwa ana blood group tofauti na la mama ndani ya masaa 24 inabidi mama huyo kuchoma hiyo sindano kwa ajili ya kumlinda mtoto ajaye na siku akipata mimba sasa kwenye hizo wiki hapo ni lazima kunakuwa na sindano zingine 2.
 
Mkuu mke wangu ni O negative mimi ni A+ kwa sasa ana mimba ya miezi 5 ni mimba ya kwanza hadi sasa bado hajapata changamoto yoyote. Je vipi anaweza kujifungua salama hii mimba..
Daah! Huyo ni mwenzangu kabisa.
 
FAida na Hasara ya kuwa na Blood Group O positive.
Hasara;
Ni rahisi kuugua kisukari na presha
kutokana na style ya maisha. (Blood Group O positive ni Vegetarian)
Ili kuepuka hayo huhitajiwa mlo wao mkuu kuwa ni mboga na matunda.

Hua rahisi sana kwao kuambukizwa mafua, kipindupindu, ,kifua kikuu, upele.
FAIDA
Ni vigumu kuumwa malaria
Typhoid ,UTI.

Miili yao hujitibu yenyewe kwa baadhi ya magonjwa.
 
Kuna siye ambao tukichoma ganzi hadi sindano 3, tukinywa pombe hamna kulewa. Hili nalo group gani?
 
FAida na Hasara ya kuwa na Blood Group O positive.
Hasara;
Ni rahisi kuugua kisukari na presha
kutokana na style ya maisha. (Blood Group O positive ni Vegetarian)
Ili kuepuka hayo huhitajiwa mlo wao mkuu kuwa ni mboga na matunda.

Hua rahisi sana kwao kuambukizwa mafua, kipindupindu, ,kifua kikuu, upele.
FAIDA
Ni vigumu kuumwa malaria
Typhoid ,UTI.

Miili yao hujitibu yenyewe kwa baadhi ya magonjwa.
Uliyoongea ni kweli kabisa mim ni o positive ugonjwa wangu mkuu ni mafua siawah umwa malaria Toka nazaliwa mpaka uzee huu, [emoji3] Wala typhod Wala magonjwa mengine ila presha ndo nimeambiwa ninayo yakushuka
 
Back
Top Bottom