galon_
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 238
- 292
Mkuu Ni lazima achome hizi sindano katika ujauzito wa kwanza. Au ni kuanzia wa pili ndo muhimu zaidiYeah mkuu umemuelewesha vizuri sindano hiyo inaitwa anti-D mjamzito anachoma mimba ikifikisha miezi saba na pia ndani ya siku tatu baada ya kujifungua. cha muhimu ni kuwa muhudhuriaji mzuri wa clinic tu na iwe clinic ya hospitali inayoeleweka baada ya hiyo sindano mimba zinazofuata huchomi tena