Umuhimu wa chakula katika mapenzi/mahusiano

Haya dada,nitakuja kuinywa,nitachelewa kidogo lakini!
 
Ebwanae........ hivi kumbe bado misosi inaendelea? Hamuogopi vitambi?

Finally the real Babu... ndio tatizo la chakula hakuna kwamba jana ulikula..

ingekua sio tumbo naona tungefanya saaana maendeleo na kila mmoja

angeweza kuweka akiba ya matibabu...
 
Yes....... babu is still alive. Safe and Sound!......Nikitaka kufa ntakustua.

haya nijalie khali yako na ulichoniandalia leo........ usisahau leo sina appetite ya vyakula vya wanga.
 
Babu leo nilikua busy kidogo hapa... ila basi ngoja tu niandae usingetoa above condition ingekua mkate...

Nakuandalia Soup ya kuku with an end result ya hoho, carrots, pili pili, tangawizi kwa mbaali... naona itabidi
tu nikupe na juice kama niliyo mwandalia sweetie, hapa chai haifai kitu tena...
 
Ahsante, nimeshiba na kuridhika....!
 
Oh Gosh...... come on!

No babu... i think i had it coming... next time will be careful for tayari upo
hapa ndani mpaka umekula hio soup... naona ni rectify by saying
it was a pleasure than welcome...lol
 
And who said this?....... yes its Ashadii. And babu is proud of her... always.
 
Babu leo nilikua busy kidogo hapa... ila basi ngoja tu niandae usingetoa above condition ingekua mkate...

Nakuandalia Soup ya kuku with an end result ya hoho, carrots, pili pili, tangawizi kwa mbaali... naona itabidi
tu nikupe na juice kama niliyo mwandalia sweetie, hapa chai haifai kitu tena...

Ahsante, nimeshiba na kuridhika....!

Hommie,naona sasa umeelewa...nenda zako kwa amani, usitende dhambi tena:A S 103:
 
No babu... i think i had it coming... next time will be careful for tayari upo
hapa ndani mpaka umekula hio soup... naona ni rectify by saying
it was a pleasure than welcome...lol

darling, wala babu asikupe presha tushamzoea huyu, akipewa lifti anataka apige na honi....dawa yake......kutompa lifti kabisa LOL
 
Back
Top Bottom