Labda kama unatafuta kazi za kufundisha kwenye taasisi au kwenye baadhi ya taasisi za serikali, huku uraiani wanachoangalia kama umefikia minimum qualification na mnachuliwa sawa kikubwa nondo zako wakati wa interview uonyeshe kwamba hujabahatisha kupata GPA kubwa
Habari wanaJF leo nimejitokeza kuomba ufafanuzi juu ya mahusiano yaliyopo kati ya GPA na urahisi wa kupata kazi.
1-Kuna tetesi kwamba mtu mwenye GPA kubwa anakuwa na advantage kuliko mwenye GPA ndogo.
2-Pia inasemekana hata kwenye interview GPA inaongeza nafasi ya mtu kupata ajira hiyo.
3-Nauliza haya kwasababu ya mikanganyiko inayokuwepo miongoni mwa sisi wanafunzi na hata kwa wale wanaosaka ajira.
NB: Hii ni kwa mtu ambaye hana mtu wa kumshika mkono.
Naomba ufafanuzi wenu kwasababu utawasaidia wengi. Nawakaribisha hata wanaotaka kukejeli.
Mkuu kwenye higher learning istitution sawa,
Lakini kwingine It doesnt matter what you know, GPA yako is whom you know???
GPA inahusika sana, uliza wengi wanaotupigia kelele kule jukwaa la ajira utakuta GPA zao za mbuzi, unapokuwa na GPA kubwa inakupa nafasi zaidi ktk soko la ushindani wa ajira hasa pale mnapokuta candidates wote mna sifa zinazofanana.[/QUO
Weka evidence
Kiukweli gpa kubwa ni asset nzuri katika ajira,, kwanza kabisa inakua rahis kuwa shortlisted kweny nafasi unayoapply kwa ajili interview, (NB sa zingine hii inategemeana na reputation ya chuo kwa mwajiri wako) pili kama gpa kubwa uliyonayo inaakisi vilivyomo kichwani kwako basi uwezekano wa kupata ajira unaongezeka,, Nina evidence kweny hili mara nying baadhi ya makampun kama crdb,delloite,,pwc etc wanakujaga hapa udsm na vyuo vingine pia ku kurecruit graduate pale wanapokuwa na uhitaji kigezo chao kikubwa lazima uwe na gpa ya 3.5 and above,, pia kuna baadhi ya taasis za serikali nyeti kama bot kama gpa inasua sua usijiangaishe ata kuaaply,, My take, ni vizuri kua na gpa kubwa especially kama huna mtu wa kukubeba!
Watu wenye vilower na vipass hapa jasho litawatoka, tena thread wanaiona chungu.
Mkuu hapo ndo huwa nachoka kuelewa hz GPA utofauti wake.. Mfano kwa SAUT B+ Inapatikana kuanzia 70 and above. Wakati kwa vyuo vingne kama IFM ni tofauti.. Uhalisia wa GPA uko vp hapa?Watu wenye vilower na vipass hapa jasho litawatoka, tena thread wanaiona chungu.
Watu wenye vilower na vipass hapa jasho litawatoka, tena thread wanaiona chungu.
itategemea na kozi,,,vikozi vyenu vya arts lazima mlinge. Wanasua wanajua naongea nini!
kwenye koz yako hakuna mwenye upper second nakuendelea? Halafu udogo au upana wakoli si ugumu au urahis wa kufunga goli.kuna chuo kimoja na kifahamu "a" nikuanzia 86 course work carries 40, sasa hii cw zaid ya nusu wanakuwa juu ya 36 kusoma kwangu miaka mitatu sijawah kuiona sasa unaposema saut b+ inaanzia 70,somen achen kulalama msipende ubwete,mbona zaman kusoma kulikuwa kugumu ila tulitoboa sasa hiv hamsomi mnataka matokeo makubwa
Uko subjective mkuu na judgemental pia. Hujaelewa swali na ukakurupuka kugeneralize kwamba watu hawasomi.hakuna alie lalamika hapa. Swali ni kwamba why range za grades zinatofautiana kati ya chuo na chuo? N kwene interview wanaliangaliaje hili swala?