Umuhimu wa GPA wakati wa kutafuta ajira

Umuhimu wa GPA wakati wa kutafuta ajira

GPA inamata sana wakati Wa kutafuta job, at least upper second 3.5 hata kama utabebwa basi inakuwa rahisi kubebwa. Kingine Matokeo ya O-Level hasa English na Mathematics pia yana mata huku mbele, at least ukiwa na C. Vinginevyo subiri utaona mwenyewe

Kama ni hivyo COET wasingepata ajira kamwe,we hujiuliz why pale chin overall GPA ni 1.8 ndio unadisco badala ya 2.0 ya vyengine,..course mchele mchele ndio GPA inamatter but kwenye course ambazo demand yake ipo juu bas hio GPA sio kigezo kabisa
 
Kaka,GPA huwa ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sasa, kinacho matter zaidi ni inteview umefanya nini, pili hata hizo GPA huwa wanaangalia zimetoka chuo gani,,,mfano TRA kipindi cha nyuma walikuwa wanaangalia sana GPA lakini ikaonekana wanachukua watu wenye GPA kubwa lakini hawawezi kufanya kazi,piliwengine wanakuja na GPA kubwa lakini interview anashindwa,,mfano hizi nafasi 70 za uhamiji, nimeshuhudia mengi mutu anakuja na GPA kubwa lakini hajui hata five internationa terrorism group, hajui hata mambo matano ya muungano, so kilichofanyika hata GPA hawakuiconsider waliangalia uwezo..kuhusu GPA hebu anagalia kwanza GPA Zinapatikana vipi vyuoni kwetu, mitihani inavuja...cha musingi consideration ya sasa ni maarfa na iwezo wako
 
Kaka, kwa kuongezea tuna mfumo mbovu wa elimu, elimu ya kuangalia vyeti zaidi badala ya kuangalia maarfa,,hivyo consider umeelewa nn badala ya kufocus kwenye alama coz hili la kuangalia zaidi alama ndio hupelekea kuvuja kwa mitihani.
 
kaka,gpa huwa ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sasa, kinacho matter zaidi ni inteview umefanya nini, pili hata hizo gpa huwa wanaangalia zimetoka chuo gani,,,mfano tra kipindi cha nyuma walikuwa wanaangalia sana gpa lakini ikaonekana wanachukua watu wenye gpa kubwa lakini hawawezi kufanya kazi,piliwengine wanakuja na gpa kubwa lakini interview anashindwa,,mfano hizi nafasi 70 za uhamiji, nimeshuhudia mengi mutu anakuja na gpa kubwa lakini hajui hata five internationa terrorism group, hajui hata mambo matano ya muungano, so kilichofanyika hata gpa hawakuiconsider waliangalia uwezo..kuhusu gpa hebu anagalia kwanza gpa zinapatikana vipi vyuoni kwetu, mitihani inavuja...cha musingi consideration ya sasa ni maarfa na iwezo wako

KILLERS KISS GUY Umejibu vizuri sana vizuri sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kaka,GPA huwa ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sasa, kinacho matter zaidi ni inteview umefanya nini, pili hata hizo GPA huwa wanaangalia zimetoka chuo gani,,,mfano TRA kipindi cha nyuma walikuwa wanaangalia sana GPA lakini ikaonekana wanachukua watu wenye GPA kubwa lakini hawawezi kufanya kazi,piliwengine wanakuja na GPA kubwa lakini interview anashindwa,,mfano hizi nafasi 70 za uhamiji, nimeshuhudia mengi mutu anakuja na GPA kubwa lakini hajui hata five internationa terrorism group, hajui hata mambo matano ya muungano, so kilichofanyika hata GPA hawakuiconsider waliangalia uwezo..kuhusu GPA hebu anagalia kwanza GPA Zinapatikana vipi vyuoni kwetu, mitihani inavuja...cha musingi consideration ya sasa ni maarfa na iwezo wako

Ni kwel kbsa
 
habari wanajf leo nimejitokeza kuomba ufafanuzi juu ya mahusiano yaliyopo kati ya gpa na urahisi wa kupata kazi.

1-kuna tetesi kwamba mtu mwenye gpa kubwa anakuwa na advantage kuliko mwenye gpa ndogo.
2-pia inasemekana hata kwenye interview gpa inaongeza nafasi ya mtu kupata ajira hiyo.
3-nauliza haya kwasababu ya mikanganyiko inayokuwepo miongoni mwa sisi wanafunzi na hata kwa wale wanaosaka ajira.

Nb: Hii ni kwa mtu ambaye hana mtu wa kumshika mkono.

Naomba ufafanuzi wenu kwasababu utawasaidia wengi. Nawakaribisha hata wanaotaka kukejeli.

dead minds
 
Nipo shekheee! Mambo yanaendaje aisee ? Thread yako inatuumiza wenye vigpa vya kuchechemea

Hii siredi kaka nimeamua kuiweka kwasababu mimi mwenyewe kaka zangu wananichanganya mmoja ananiambia komaa upate GPA nzuri mwingine kila nikionana naye anasema GPA si kitu ila kufanya vizuri interview nikaona niwaletee ninyi wataalamu
 
Yaani shekhe! GPA Mimi Naona so issue sana siku hizi
 
GPA kubwa zinahitajika zaidi kwenye fani za ualimu (kufundisha), kwa kazi kama jeshi haina nafasi.
 
jamani sio kuwa gpa haisaidii wakati wa kusaka ajira.maana moja ya kigezo ni mtu awe uppersecond ndo aitwe kwa interview then tunadanganyana humu eti sio muhimu nawaombeni mlioko vyuoni baso someni jamani.ili watu wajue una nini kichwani c mpaka huitwe sasa kama huna sifa ya kuitwa watajuaje unauwezo ulionao? Umakini ni muhimu sana
 
Ukianza chuo aisee unakua unawaaaza GPA, GPA kitu cha msingi ni kuombea uitwe kwenye interview halafu onesha uwezoo baasi first class sijui upper seconf hizo zote ni mbwembwe mimi nilipiga lower second yangu supp moja carry over moja, nimemaliza chuo miezi miwili tu nikapata kazi sikua na refa wala nini cha msingi sali sana Mungu anasikia onyesha uwezo maana wapo kibao wana GPA kuuubwa wapo kitaa tu mareferee wangu ktk sala yangu walikua watatu Mungu mwenyewe, Jesus Christ na mwisho Holy spirit sijui nilitoaga wapi hii ila mambo yakatiki tu Over....
 
Soma sana na acha uvivu, GPA kubwa ni kuonyesha umesoma vema ndio maana hata vyuo vinawatunuku zawadi, pia waliopata division one yuko vizuri kuliko division four japo other things remains constant
 
Back
Top Bottom