flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
GPA inamata sana wakati Wa kutafuta job, at least upper second 3.5 hata kama utabebwa basi inakuwa rahisi kubebwa. Kingine Matokeo ya O-Level hasa English na Mathematics pia yana mata huku mbele, at least ukiwa na C. Vinginevyo subiri utaona mwenyewe
Kama ni hivyo COET wasingepata ajira kamwe,we hujiuliz why pale chin overall GPA ni 1.8 ndio unadisco badala ya 2.0 ya vyengine,..course mchele mchele ndio GPA inamatter but kwenye course ambazo demand yake ipo juu bas hio GPA sio kigezo kabisa