Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
- Thread starter
- #41
Ukianza chuo aisee unakua unawaaaza GPA, GPA kitu cha msingi ni kuombea uitwe kwenye interview halafu onesha uwezoo baasi first class sijui upper seconf hizo zote ni mbwembwe mimi nilipiga lower second yangu supp moja carry over moja, nimemaliza chuo miezi miwili tu nikapata kazi sikua na refa wala nini cha msingi sali sana Mungu anasikia onyesha uwezo maana wapo kibao wana GPA kuuubwa wapo kitaa tu mareferee wangu ktk sala yangu walikua watatu Mungu mwenyewe, Jesus Christ na mwisho Holy spirit sijui nilitoaga wapi hii ila mambo yakatiki tu Over....
Mkuu ulisomea nini nijibu Pm