Umuhimu wa GPA wakati wa kutafuta ajira

Umuhimu wa GPA wakati wa kutafuta ajira

Ukianza chuo aisee unakua unawaaaza GPA, GPA kitu cha msingi ni kuombea uitwe kwenye interview halafu onesha uwezoo baasi first class sijui upper seconf hizo zote ni mbwembwe mimi nilipiga lower second yangu supp moja carry over moja, nimemaliza chuo miezi miwili tu nikapata kazi sikua na refa wala nini cha msingi sali sana Mungu anasikia onyesha uwezo maana wapo kibao wana GPA kuuubwa wapo kitaa tu mareferee wangu ktk sala yangu walikua watatu Mungu mwenyewe, Jesus Christ na mwisho Holy spirit sijui nilitoaga wapi hii ila mambo yakatiki tu Over....

Mkuu ulisomea nini nijibu Pm
 
Soma sana na acha uvivu, GPA kubwa ni kuonyesha umesoma vema ndio maana hata vyuo vinawatunuku zawadi, pia waliopata division one yuko vizuri kuliko division four japo other things remains constant

Ok nilichoelewa ni kwamba cha muhimu ni kufahamu mambo
 
Ok nilichoelewa ni kwamba cha muhimu ni kufahamu mambo

Yap yanaendana na kuwa na GPA kubwa ila huenda ukawa poor in presentation maana nayo ni kipaji.Mantiki kubwa ni mtu kusoma kwa bidii na kuelewa mambo siyo kwenda kulala chuo alafu ujilinganishe na aliyekesha library.Wanaotafuta GPA ndogo ni walio makazini wanataka wapate cheti ili waongezewe mishahara. Unatoka fresh from school kwenda chuo alafu unauliza GPA kubwa na ndogo wakati kubwa inaonyesha high performance.
 
Uwezo Wa MTU ni performance yake ktk kila nafasi anayoipata. Hii inamaanisha ikiwa una GPA ndogo ina maana wewe huwezi kuelekezwa kitu Mara moja na kukapture. Mimi Nina GPA Kubwa tu, nilichonoti kazini ni kwamba Boss wangu alishanitambua ni fast learner wakati wengine akiwaona slow learner. Kwa hiyo GPA ina uhusiano Wa Moja kwa moja na akili ya MTU ktk kutatua matatizo na kufanya maamuzi. Kwa hiyo ndugu zangu tumieni vizuri kila nafasi mnayopata ya kusoma.
 
Itategemea na kozi,,,vikozi vyenu vya arts lazima mlinge. Wanasua wanajua naongea nini!

Argument yako itakuwa valid endapo itakuwa ni mwiko kwa SUA kupata Upper na First Class.
Lakini kama wapo wanaopata hizo, ni wazi wewe na wanaozikosa mnalazimishia kusoma msichokuwa na uwezo nacho

Argument yako itakuwa valid endapo itakuwa ni mwiko kwa SUA kupata Upper na First Class.
Lakini kama wapo wanaopata hizo, ni wazi wewe na wanaozikosa mnalazimishia kusoma msichokuwa na uwezo nacho

Hii ni kweli kabisa.
 
kwenye koz yako hakuna mwenye upper second nakuendelea? Halafu udogo au upana wakoli si ugumu au urahis wa kufunga goli.kuna chuo kimoja na kifahamu "a" nikuanzia 86 course work carries 40, sasa hii cw zaid ya nusu wanakuwa juu ya 36 kusoma kwangu miaka mitatu sijawah kuiona sasa unaposema saut b+ inaanzia 70,somen achen kulalama msipende ubwete,mbona zaman kusoma kulikuwa kugumu ila tulitoboa sasa hiv hamsomi mnataka matokeo makubwa
Hoja yangu ni kwamba kuna baadhi ya kozi GPA kubwa ni kawaida kulingana masomo wanayosoma.
 
Argument yako itakuwa valid endapo itakuwa ni mwiko kwa SUA kupata Upper na First Class.
Lakini kama wapo wanaopata hizo, ni wazi wewe na wanaozikosa mnalazimishia kusoma msichokuwa na uwezo nacho

Walioweka cut off point kubwa kwa masomo ya arts,,na kuweka cut off point ndogo wana akili nyingi kuliko wewe!!! Ha ha ha PCB na HGL wapi na wapi?
 
GPA inamata sana wakati Wa kutafuta job, at least upper second 3.5 hata kama utabebwa basi inakuwa rahisi kubebwa. Kingine Matokeo ya O-Level hasa English na Mathematics pia yana mata huku mbele, at least ukiwa na C. Vinginevyo subiri utaona mwenyewe

Kwa kampuni kama pwc, mwaka huu c ya hesabu o level hawaitambui!
wanataka angalau uwe na B ya hesabu, then C ya english
 
Walioweka cut off point kubwa kwa masomo ya arts,,na kuweka cut off point ndogo wana akili nyingi kuliko wewe!!! Ha ha ha PCB na HGL wapi na wapi?

Kigezo cha hizo cut off points in idadi na ufaulu. Wengine mnadhani ni sifa mnaangukia pua mnabaki kusema masomo magumu...kama wewe mlaini yatakuwa magumu tu... kwani hao wanaopata point 3 ya PCB wana vichwa viwili?
 
Hoja yangu ipo pale pale kuwa kuna masomo magumu mengine ulojo,sasa sijui tunashindwa elewana wapi jombaa
 
Back
Top Bottom