Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Habari wanaJF leo nimejitokeza kuomba ufafanuzi juu ya mahusiano yaliyopo kati ya GPA na urahisi wa kupata kazi.
1-Kuna tetesi kwamba mtu mwenye GPA kubwa anakuwa na advantage kuliko mwenye GPA ndogo.
2-Pia inasemekana hata kwenye interview GPA inaongeza nafasi ya mtu kupata ajira hiyo.
3-Nauliza haya kwasababu ya mikanganyiko inayokuwepo miongoni mwa sisi wanafunzi na hata kwa wale wanaosaka ajira.
NB: Hii ni kwa mtu ambaye hana mtu wa kumshika mkono.
Naomba ufafanuzi wenu kwasababu utawasaidia wengi. Nawakaribisha hata wanaotaka kukejeli.