flyn rider
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 456
- 78
GPA inamata sana wakati Wa kutafuta job, at least upper second 3.5 hata kama utabebwa basi inakuwa rahisi kubebwa. Kingine Matokeo ya O-Level hasa English na Mathematics pia yana mata huku mbele, at least ukiwa na C. Vinginevyo subiri utaona mwenyewe
kaka,gpa huwa ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sasa, kinacho matter zaidi ni inteview umefanya nini, pili hata hizo gpa huwa wanaangalia zimetoka chuo gani,,,mfano tra kipindi cha nyuma walikuwa wanaangalia sana gpa lakini ikaonekana wanachukua watu wenye gpa kubwa lakini hawawezi kufanya kazi,piliwengine wanakuja na gpa kubwa lakini interview anashindwa,,mfano hizi nafasi 70 za uhamiji, nimeshuhudia mengi mutu anakuja na gpa kubwa lakini hajui hata five internationa terrorism group, hajui hata mambo matano ya muungano, so kilichofanyika hata gpa hawakuiconsider waliangalia uwezo..kuhusu gpa hebu anagalia kwanza gpa zinapatikana vipi vyuoni kwetu, mitihani inavuja...cha musingi consideration ya sasa ni maarfa na iwezo wako
Kaka,GPA huwa ni kigezo cha mwisho kabisa kwa sasa, kinacho matter zaidi ni inteview umefanya nini, pili hata hizo GPA huwa wanaangalia zimetoka chuo gani,,,mfano TRA kipindi cha nyuma walikuwa wanaangalia sana GPA lakini ikaonekana wanachukua watu wenye GPA kubwa lakini hawawezi kufanya kazi,piliwengine wanakuja na GPA kubwa lakini interview anashindwa,,mfano hizi nafasi 70 za uhamiji, nimeshuhudia mengi mutu anakuja na GPA kubwa lakini hajui hata five internationa terrorism group, hajui hata mambo matano ya muungano, so kilichofanyika hata GPA hawakuiconsider waliangalia uwezo..kuhusu GPA hebu anagalia kwanza GPA Zinapatikana vipi vyuoni kwetu, mitihani inavuja...cha musingi consideration ya sasa ni maarfa na iwezo wako
habari wanajf leo nimejitokeza kuomba ufafanuzi juu ya mahusiano yaliyopo kati ya gpa na urahisi wa kupata kazi.
1-kuna tetesi kwamba mtu mwenye gpa kubwa anakuwa na advantage kuliko mwenye gpa ndogo.
2-pia inasemekana hata kwenye interview gpa inaongeza nafasi ya mtu kupata ajira hiyo.
3-nauliza haya kwasababu ya mikanganyiko inayokuwepo miongoni mwa sisi wanafunzi na hata kwa wale wanaosaka ajira.
Nb: Hii ni kwa mtu ambaye hana mtu wa kumshika mkono.
Naomba ufafanuzi wenu kwasababu utawasaidia wengi. Nawakaribisha hata wanaotaka kukejeli.
Mitihani yenu rahisi ndio maana mnaekewa pass mark kubwa,weka COET hio pass mark uone watu watakavyopukutika mwisho wa mwaka
Advocate J upo mkuu?
Nipo shekheee! Mambo yanaendaje aisee ? Thread yako inatuumiza wenye vigpa vya kuchechemea
Mitihani rahisi eeeh? Umeshaona mitihani ya sua,muccobs?
Tukipe pepa ya cooperative account, financial accounting, managerial accounting? ,ushaiona mitihani ya sua? Veterinary med,AGR ENG,?Sasa muccobs unataka kufananisha na CoET
Hii siredi kaka nimeamua kuiweka kwasababu mimi mwenyewe kaka zangu wananichanganya mmoja ananiambia komaa upate GPA nzuri mwingine kila nikionana naye anasema GPA si kitu ila kufanya vizuri interview nikaona niwaletee ninyi wataalamu
Nakuunga mkonoGPA kubwa zinahitajika zaidi kwenye fani za ualimu (kufundisha), kwa kazi kama jeshi haina nafasi.