Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

فعلأ
يجب علينا ممارسة العربي والتمتع المفردات الى الاخير تمديد كنت أكثر أهلا و ورحب كل الناس ..
 
na kichina je maana tunafanya sana biashara na china kuliko hizo nchi ulizozitaja
 
Na mchina aliyewekeza hata kwenye kuuza mahindi ya kuchoka K.KOO,mbona hamsemi tujifunze kichina mashuleni.
 
c tunajifunza tu ubongo wenyewe hauna limit ya kukrem,.kiarabu,kinyaturu, twende kazi.kama ww kibichwa chako kama ndimu komaa tu na kiswahili us we learn moo.
 
Lugha yenyewe hii ya kuandika kutoka kulia kwenda kushota? hapana!
Na tatizo ni nini kama unaandika kutoka kulia kwenda kushoto? Kuna nyingine kutoka juu kwenda chini. So, what is the problem? Hebu nieleweshe. Nionavyo ni convention tu. Kwa hivyo nini tatizo hasa hapo?
 
Basi Wabongo watakapogundua kwamba wenzao Kenya tayari wanafundisha lugha nyingi zaidi vyuoni including German, Chinese na Arabic, utawasikia wakilalamika kwamba wenzetu Wakenya hivi au vile.
 
Ukisoma huelewi basi hata picha huoni?


So what is your point? Whats the need of calling someone barbaric kwa clothing style? Na unamlinganisha na nani ambaye unamwona civilized bu your own point of views? Inaonekana hujasoma anthropology na hutambui kuheshimu cultures. Kila culture in styles zake, Africa got more than 2000 tribes with their own cultures na you cant formulate a generalized assumption kwa urahisi hivyo.

Pia its their culture if some do, you can't judge them by your standards. You have your own standards applied to your own source. Its applied on your source. Period.





Respect Cultures Diversity!
 

Unaleta picha mpya na ya kuchora.

Naam, kutokuwa/kutokuvaa nguo ndiyo culture ya Kibantu ya miaka michache tu nyuma, sasa ulikuwa unambishia nini huko juu?

Wewe nawe mara "archaeology" mara "anthropology", huko kote huna unalolijuwa zaidi ya ujinga uliojazwa nao.

Nimekuuliza Raptha unaijuwa?
 
nchi nyingi zinazozungumza hiyo lugha hawawezi hata kutengeneza toyo.
tunataka Kichina, kijapan na kikorea.
 
kiswahili kimewashida sembuse kiarabu .hahahahah
 
Waarabu wenyewe wanajitahidi wajivunze kiingereza sisi ndo tunataka tuchukue lugha yao kweli tz vil.za wengi
 
Kihalalishwe ili usipate shida ya kutafsiri jina lako la blessing?

Ebu usitumbushe machungu, kaa kimya hatutaki kuwa Watumwa tena!
 
hivi kiarabu ndo kinaandikwa kutoka kushoto kwenda kulia? au kinaelekea uelekeo upi wajuzi nitoen ujinga kidogo
 
Hilo wazo nalipinga, nina mashaka na mtoa mada ana chembe ya nia binafsi juu ya lugha hiyo!
 
Awamu ya Tano mmekuja na vichaa wengi ndio maana mnataka muwe karibu na milembe hosptl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…