Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

Unaleta picha mpya na ya kuchora.

Naam, kutokuwa/kutokuvaa nguo ndiyo culture ya Kibantu ya miaka michache tu nyuma, sasa ulikuwa unambishia nini huko juu?

Wewe nawe mara "archaeology" mara "anthropology", huko kote huna unalolijuwa zaidi ya ujinga uliojazwa nao.

Nimekuuliza Raptha unaijuwa?

Archaeology ni branch la Anthropology. Pia nilipokuambia fahamu anthropology ni kwa sababu ya non cultural diversity uliyoishikilia na sio kuhusu kusomea.

PS: Pia soma comment zilizopita nilikupatia na Sources kupitia kitabu. I think hujaisoma. (Comment namba 46)

I think niishie hapa. You can view unavyoamua kuona and I respect that.
 
Ikija kwenye mambo ya uwekezaji bora tujifunze Ki China. Anyway tunatakiwa kuwa na curriculum inayowaruhusu watoto mashuleni kujifunza lugha mbali mbali.
Kifaransa, Kigermani, Kiitaliano Kiarabu , Kijapan etc.

Muhimu kabisa waweke mkazo kwenye English.
Tutake tusitake dunia ya leo ni ngumu Kama hujui English.

Sio lazima kuwe na darasa wanafunzi wanaweza kufanyanya hayo masomo "through correspondence ".

Sahihi sana mkuu [emoji818]
 
Mbona 50% ya maneno ya Kiswahili ni ya Kiarabu likiweno neno "Swahili"?
Acha urongo wewe... Me natumia Decoder ya CTV kuna channel kama 15 hivi za kiarabu ukisikiliza cha zaidi utasikia Sifuri,Shekran,Saba,Al-khamis,sub - Kheli ,Walakini, Raisi, Waziri,Tasmini, Magharibi,Wakati,Hamsini,Isha,IShirini,Themanini,Sabini,Tisini wao huitamka Tisaini na maneno yakubahatisha kwenye mpira wakitangaza ndio zero% mambo ya kusema ati ni 50% wewe ni jipu...

Wakusanye Watoto wako uwapumbaze hadi wakue wakiamini Kiswahili ni 50% ya Kiarabu.. Naomba utuandikie Maneno mia tu ambayo kwa kiarabu ni sawa sawa na Kiswahili... nikupe Zawadi achana na hiyo 50% na ukikaa kimya usichangie kabisa vitu usivyovifanyia utafiti...
 
Ni kweli mkuu, nilikuwa Cairo na niliweza kupata mahitaji yangu dukani kwa kuongea Kiswahili na wenyeji kuongea Kiarabu, maneno mengi yanaingiliana. Lakini si vibaya kuweka Kiarabu kama somo mashuleni kwa watakaopenda kama vile ilivyo Kifaransa.
Hakika wewe ni Muongo...
 
Acha urongo wewe... Me natumia Decoder ya CTV kuna channel kama 15 hivi za kiarabu ukisikiliza cha zaidi utasikia Sifuri,Shekran,Saba,Al-khamis,sub - Kheli ,Walakini, Raisi, Waziri,Tasmini, Magharibi,Wakati,Hamsini,Isha,IShirini,Themanini,Sabini,Tisini wao huitamka Tisaini na maneno yakubahatisha kwenye mpira wakitangaza ndio zero% mambo ya kusema ati ni 50% wewe ni jipu...

Wakusanye Watoto wako uwapumbaze hadi wakue wakiamini Kiswahili ni 50% ya Kiarabu.. Naomba utuandikie Maneno mia tu ambayo kwa kiarabu ni sawa sawa na Kiswahili... nikupe Zawadi achana na hiyo 50% na ukikaa kimya usichangie kabisa vitu usivyovifanyia utafiti...
Tena kaweka asilimia ndogo sana, mimi nasema ni zaidi ya hiyo 50%.
 
Tena kaweka asilimia ndogo sana, mimi nasema ni zaidi ya hiyo 50%.
Why uandikie mate wakati Wino Unao.... Kwenye Hoja ama Hizo me huwa sibabaishwi bila Mifano... wekea uhai hoja yako maana me katika kumjibu nimeweka mifano hai wewe umejibu kiporojo zaidi na hujaonesha kitu kwa faida ya watu na wengine wasiwe wanachukua tu maneno ya watu huku hawana Evidence... ya mifano hai maana najua huyo jamaa karopoka tu na hana analolijua zaidi ya kuokoteza maneno ya mtu kama wewe maana siku nyingine ataongeza percent na hana uhakika...
Weka List tuende Sawa... Napenda Ubishi wa Kuelimika na sio Porojo..
Mimi nimeweka zangu wewe Ongeza Zako zaidi tafuta kote kwenye Google vitabu n.k am sure Hatuzungumzii dini tushindwe kuleta evidence..
 
Waarabu wenyewe wanajitahidi wajivunze kiingereza sisi ndo tunataka tuchukue lugha yao kweli tz vul.za wengi
Wanajitahidi wajifunze Kiingereza siyo kwa maana ya waache lugha zao. Mbona Yuropa watoto husoma lugha tatu au nne. Lugha yao, na wanaongezea na nyingine zinazozungumzwa huko.
 
Waaaarabu? wale waliowahasi babu zetu...mashraf Habib..ntajifunza harka iyo lugha ili siku navolipa kisasi wawe wanajua naongelea nani
 
Mimi ni archaeologist. Sielezei katika hali ya nationalism bali katika evidences.

Bantu walikuja kabla ya Arabs. Indigenous waliokutwa na Bantu ni Sans, Nilo-Saharans kama Masai na Khoi. Ambapo walikuwa scattered na eneo kubwa kulikwepo hakuna watu wengi.

Coast of Eastern Africa walikwepo Africans waliokuwa na trades na Central Africa na Zimbabwe, Mapungubwe. Zanzibar yenyewe ilikwepo na Africans wa Sans miaka ya 29,000 mpaka 6000 baada ya maji kuongezeka na kuzuia kutembea kwenda Zanzibar kwa miguu baada ya Interglacial period 7500 years ago. Evidence zipo pango la Kuumbi Kata ya Jambian Zanzibar.

Arabs walipoingia kuanzia Somalia kuja Azania walikuta kuna centralized states zilizokuwa kutokana na trades za Romans. Waroma walifika East Africa kufanya trades mpaka miaka ya 900AD. Kuna ushahidi na Ptolemy map ya roman imechora mto Rufiji kama ulivyo. Kilwa ilikuwa ya Africans na ilikuwa na African kings na coins zinaonyesha hivyo. Pamoja na Ibn Batuta alitembelea kilea na kusema alipokelewa na Wazaramo na Kings weusi waliokuwa wana power na waarabu wachache waliopita kutembea.

Arabs walichangia kuharibu states kwa kutaka kutawala trades na kulazimisha kueneza Islam na kukuza Slaver iliyopelekea kuharibu power na labour force ya Eastern Africa na kuchukua tittle kusema Arabs ndio wakuu waliojenga Eastern Coast. Archaeological facts hazisemi hivyo. Hivi sasa things have changed na wapo watafiti wengi kama Mark Hotton, Prof Felix, Mary Prendergast, Dr Akshay, M Melhman ambao wanafanya tafiti mpaka sasa na papers zao hazisemi hivyo.

Chittick aliyeanza kufanya tafiti miaka ya 1960 ndio alikuwa na mawazo ambayo aliona Arabs ndio waliojenga East African Coast na Lugha. Lakini alikuja kubadili huo mtazamo 1982.

Modern scholastic reports na books zimehama huo mtazamo wa 1952 - 1970.

Kuhusu kiswahili kuwa na asilimia ya kiarabu kufanya iwe kiarabu inaweza kuwa sawa. Na ikiwa sawa basi kiswahili ni Kireno, Kifaransa, Kingereza na kadhalikwa kwa sababu pia kuna maneno ya lugha nyingine na style ya uandishi wa lugha nyingine.
Hao ulituandikia ndo wale wasemao binaadamu wa kwanza alikuwa nyani tena ,ndo hao hao wanaozungumza utumwa wa waarabu ndo hao hao leo wanakuletea ushoga ,tuondoleeni hadithi za abunuasi hapa
 
Ndio mnachowaza haya mjilipuege mabomu mpaka muuishe yani Ugaidi u dominate dunia?
Nehi karonga
 
Ba
Suicide bombing
Wee jitoe ufahamu, baki na umbumbumbu wako !! Since day one WAARABU tumeiBARIKI nchi hii kwa LUGHA MAMA, USTAARABU (Arabian Civiliztions ), AMANI, UUNGANISHI WA MAKABILA kwa lahaja moja "Salaam Aleykum" na pia majina ya miji yote (DAR-ES-SALAAM-MTWARA-TANGA-KIGHOMA-ARUSHA-TABORA-SINGHIDA-ZANZIBAR-KILWA-MAFIA-KIL~MANJAA~ARO, MUSSOMA,KIBAHA ,BAGA~MOYO,nk nk..

Tazama artitecture design za waarabu (majengo ya kama ikulu/Ocean road Hospital, majengo nk nk) !!! Pamoja na kutaifishiwa mashamba,Viwanda,maghorofa na mhospitali.... Bado wasema uwekezaji gani.. Nguruwe wee/shwaein ngedere wa chooni !!

Long live SS Bakhressa kuweza sambaza bidhaa zake na kuajiri wazawa.... (huyo mmoja tu)

chuki na husda zimekutawala....[/QUOTE]

Bangii mbaya zamiluni hahahaha
Umenifurahisha ukanihuzunisha

Kwa porojo/uwongo wako
Kweli waarabu walihasi hadi vichwa vya watu
 
Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu kama lugha rasmi ya mawasiliano nchini Tanzania.
Mtoa hoja hebu fikiria tena mara mbili kuhusu uliyoyaandika....huoni kwamba ingekuwa busara kwa wao kujifunza Kiswahili wanapokuja nchini kwetu?
Tukikubaliana na wewe sijui tutakuwa Taifa la aina gani...Tuna wawekezaji wa kichina...basi tungetakiwa kujifunza kichina?Wawekezaji wa Ki South...Afrikaanse.....Wataliano wenye mahoteli kule Zenji....Kitaliano....Dangote kule Mtwara....wajifunze Ibo???Samahani lakini ....Umeandika UTUMBO..
 
Wanajitahidi wajifunze Kiingereza siyo kwa maana ya waache lugha zao. Mbona Yuropa watoto husoma lugha tatu au nne. Lugha yao, na wanaongezea na nyingine zinazozungumzwa huko.
Sijaongelea suala LA kuacha lugha yao ila wao pia wanajua umuhimu wa lugha ya kiingereza kwa ulimwengu huu.
 
Achaneni na kiarabu Kifaransa au kitaliano labda
 
Back
Top Bottom