mnyonge mnyongeni........kiarabu ni moja kati ya lugha pana na yenye wazungumzaji wengi duniani,huwez kutaja lugha kubwa nne duniani ukakosa kiarabu,kiswahili kwa 75% kimejengwa na kiarabu,ukija kijamii na kibiashara,waarabu kibiashara wanashirikiana sana na nchi za kwetu,na pia ukaribu,hakuna watu waaminifu kibiashara kama waarabu,mfano mzuri nenda zenj,watu wa zenj kibiashara wana uaminifu mkubwa sana,kama tungekua tunatumia uhusiano huu vizur,kibiashara tungekua mbali,ila tumehusisha sana uarabu na udini ndio maana tumekua vipofu kwenye hili,na tume fail mambo mengi,mfano wa tanganyika tulio wengi kibiashara sio waaminifu hata kidogo,hata ukiangalia kiutendaji,wazenj wako makini ki fursa kuliko huku kwetu,mfano tuu,process za ki bandari zenj na huku,zenj ziko haraka na wazi kuliko bara,unaweza toka na mzigo bandar ya zenj vizur,figisu zinaanza ukifika bandar yetu huku,kuchangamkia fursa bado sana,wazungu wanasoma lugha za watu kama nini,sisi hapa dar pamoja na ukubwa wote huu kibiashara bado hatuna hata chuo kikubwa cha lugha za kigeni,tumebaki kuwa skeptic tuu,unahofia vitu visivyokuwa hata na mantiki,unaogopa kusoma kichina eti utlishwa chura,unaogopa kusoma kiarabu eti utakua muislam,unaogopa kusoma kiitaliano eti utakua mkatoliki matokeo unamkuta mjasiriamali mkubwa anajua kiswahili tuu na kimakonde,alafu nae anataka fursa zakibiashara nje na ndani ya nchi yake