Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Don't try to fool people hata neno Either la english na la kiswahili ni aidha so ukisema utamkaji ni tofauti nani atakuelewa zaidi ya kudanganya watu... mbona hata Waitaliano wanatamka au kuliita jina la kiingereza Peter,kiswahili ni Pita Wahispania na wareno hutamka Pedro na Wafaransa hutamka Piere kama ni lugha huwezi elewa kitu hapo so sometimes you can fool people but not all the time..Tafuta kamusi ya Kiswahili yenye etymology au mtafute mtaalam yeyote wa lugha ya Kiswahili utathibitishe kauli yangu. Tofauli iko kwenye matamshi na kwa kiasi fulani spelling. Kwa mfano neno "Swahili" kwa Kiarabu inatamkwa "Swahil"; "darasa" inatamkwa "darsa"; "mamlaka" inatamkwa "mamlakat", "halali" inatamkwa "halal"; "dini" inatamkwa "din", nk.
Nimesema weka Maneno moja bada ya lingine yakifike mia at least tuone ni percent ngapi Kiswahili kimebebwa na Kiarabu na sio kusema mimi nitafute Mtaalamu wa Kiswahili kwanza huyo mtaalam alikuwepo wakati kiswahili kinazaliwa? uulize mtu aliyehadithiwa akili zako zimeshikwa?
Siku hizi kila kitu kipo wazi na kuhusu maswala ya lugha andika tu kwa maneno watu tunasoma na hoja yako inapita... wadhania Mwarabu akiongea utaelewa kitu wewe?
Hiyo Mifano yako naipata fuleshi kabisa maana hata Lugha zingine kitu kimoja lakini kinautofautishaji wa kutamka ndio maana Kisukuma na Kinyamwezi ni lugha mbili tofauti japo wanaelewana lakini kiswahili na Kiarabu no kuelewana ni sawa na mtu ajuae english ya kuombea maji Give me some water!
Kwa hoja upo level Ndogo mkuu jipange vizuri.
Uongeaji na utamkwaji unapotofautiana ndio lugha inapokuwa tofauti maana lugha ni mawasiliano sasa kama hamuwezi kuwasiliana basi mpo lugha tofauti... Jimama FaizaFoxy linalojidai limelipa zoezi limesepa mbio... na halijawahi nishinda kwa hoja na hatoweza..