ili kweli chafuView attachment 1194386
Ghetto halifanyiwi usafi. (MSALIMIE DADA HAPO NYUMBANI)
ili kweli chafu
Ukichakata jirani hutaleta demu mwingine hapo geto jirani atakuja kukuletea mtitiwewe ndo umenipa elimu kabisaa, kumbe bi mkubwa alikua ananipoteza juzi katoka kusema atanipa vyombo, na kiti.
na sabufa na redio, vipo nje nje, pamoja na brenda kiufupi alisema atanipa ving vng, kumbe ntakumbuka home, ishakua jau,
Afu io ya kuchakata nilkua sijui, kabisa bas ntakua nachakata mbili, nyngne ntakua napeleka nakojua mimi, na ukichakata mtoto wa mwenye nyumba au jirani nini kinatokea
Haya subiri aje kibabu kimuhonge rav 4 uone kama ataendelea kukuita bloodm mwenyewe tecno inayotembea
Miaka 23 tu ndo unaona aibu junia?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimeanza kuona aibu, kabisa ila hamna ubaya ni aibu tu
Hapo umemtajia mshahara wake wa miezi 5.Woga wako tu kawaida.
Pc million 1 na kuendelea.
Pad (50k hadi 150k)+ racing wheel kama utahitaji jumla lak3 had 4.
Monitor au tv laki 5 had 7
Hiyo meza complete lak 4
Mziki wa hi-fi lak 4 na kuendelea.
Jumla hapo wastani mil3
(Starehe gharama)
Hili ghetto hapana kwakweli.View attachment 1194386
Ghetto halifanyiwi usafi. (MSALIMIE DADA HAPO NYUMBANI)
Teh teh teh tehWasalimie hapo nyumbani.