Umuhimu wa kukaa ghetto

Umuhimu wa kukaa ghetto

IMG_3534.JPG

Ghetto halifanyiwi usafi. (MSALIMIE DADA HAPO NYUMBANI)
 
wewe ndo umenipa elimu kabisaa, kumbe bi mkubwa alikua ananipoteza juzi katoka kusema atanipa vyombo, na kiti.

na sabufa na redio, vipo nje nje, pamoja na brenda kiufupi alisema atanipa ving vng, kumbe ntakumbuka home, ishakua jau,

Afu io ya kuchakata nilkua sijui, kabisa bas ntakua nachakata mbili, nyngne ntakua napeleka nakojua mimi, na ukichakata mtoto wa mwenye nyumba au jirani nini kinatokea
Ukichakata jirani hutaleta demu mwingine hapo geto jirani atakuja kukuletea mtiti
 
unakua na geto kama la kiben10 mpk raha, yaaaani vitu vyote vilivyomo ndani unaweza kuweka kwenye tranka ukahama, huko uendako hata ukitua kwenye cordo unapika unalala asubuh unaendelea na safar.
 
Woga wako tu kawaida.
Pc million 1 na kuendelea.
Pad (50k hadi 150k)+ racing wheel kama utahitaji jumla lak3 had 4.
Monitor au tv laki 5 had 7
Hiyo meza complete lak 4
Mziki wa hi-fi lak 4 na kuendelea.
Jumla hapo wastani mil3
(Starehe gharama)
Hapo umemtajia mshahara wake wa miezi 5.
Hivyo aendelee kukaa home mpaka mwezi wa kwanza akifikisha hyo hela akanunue
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee mi kibarua
Hapo umemtajia mshahara wake wa miezi 5.
Hivyo aendelee kukaa home mpaka mwezi wa kwanza akifikisha hyo hela akanunue
 
Back
Top Bottom