Umuhimu wa kukaa ghetto

uu mwaka sitaku uishe, tuombe uzima, na ni marufuku kurudisha mpira kwa gorikipa
Kumbe bado bado sana
Ingekuwa 25+ ningekwambia utoke upesi u sana usiku huu huu ukakae hata kwa mwana kwa miezi miwili then utakuwa ushapata geto lako
 
uu mwaka sitaku uishe, tuombe uzima, na ni marufuku kurudisha mpira kwa gorikipa
Una miezi minne tu,usiwe na papara.
Maana licha ya hivyo,umri bado haujakutupa mkono kabisa..kuwa makini changa karata zako vyema,na pia uchague mahala sahihi pa kuishi,sio uende ukapange buza huko,kila siku utakuwa unafika kazini saa nne
 
usiwaze man, ntazichanga vilvo
Una miezi minne tu,usiwe na papara.
Maana licha ya hivyo,umri bado haujakutupa mkono kabisa..kuwa makini changa karata zako vyema,na pia uchague mahala sahihi pa kuishi,sio uende ukapange buza huko,kila siku utakuwa unafika kazini saa nne
 
sema madogo wa siku hizi wameanza kujielewa mapema Sana...mitandao yao yakujiunga wanajiunga na JF hata kama wataongea pumba ila ndio hivyo kadri siku zinavyoenda akili zinakua na kupevuka..I guess miaka mi 5 mbele TZ vilaza watakua wachache sana.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] eti vilaza
sema madogo wa siku hizi wameanza kujielewa mapema Sana...mitandao yao yakujiunga wanajiunga na JF hata kama wataongea pumba ila ndio hivyo kadri siku zinavyoenda akili zinakua na kupevuka..I guess miaka mi 5 mbele TZ vilaza watakua wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…