Consultant_Silwano
Member
- May 22, 2017
- 51
- 21
BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online Registration System) ulianza kutumika kwa ufanisi zaidi kuanzia mwaka 2018. Lengo lilikuwa kuhakikisha uzingatiaji wa sheria, uwazi, na usasishaji wa taarifa za biashara.
Umuhimu wa Kurudisha Taarifa BRELA (BRELA ANNUAL RETURN)
1.Uzingatiaji wa Sheria: Makampuni yanahitajika kisheria kuwasilisha taarifa za mwaka ili kuthibitisha uwepo na uendeshaji wake.
2.Uwazi: Husaidia serikali na wadau kupata taarifa sahihi za makampuni.
3.Kuepuka Faini: Kushindwa kuwasilisha taarifa kwa wakati kunaweza kusababisha faini au hata kufutwa kwa usajili wa kampuni.
4.Usasishaji wa Taarifa: Huhakikisha kuwa taarifa za kampuni (kama vile wakurugenzi, wanahisa, na anwani) zinasalia kuwa sahihi kulingana na mabadiliko yaliyofanyika au kulingana na uhalisia taarifa kwa nyakati husika ya taarifa ya kampuni.
5.Kuongeza Uaminifu: Taarifa zilizosasishwa huimarisha hadhi ya kampuni na kurahisisha shughuli za kibiashara. Kama vile ufunguaji wa benki akaunti, Uombaji wa mkopo kwenye mabenki mbalimbali, Kwenye uobaji wa tenda mbalimbali taarifa BRELA (BRELA annual return) imekuwa nyaraka amabayo ni kigezo cha muhimu na lazima.
Mawasiliano
Kwa ushauri zaidi kuhusu uandaaji na uwasilishaji wa ritani za BRELA kwa makapuni yote, nasi kupitia:
📞 Simu: 0712685025 / 0783262125
📧 Barua pepe: momsconsultingltd@gmail.com
#Muongozo wa kitaalamu kwa ukuwaji na usalama na ukuwaji wa biashara