Umuhimu wa kutozima simu usiku: Daraja la Wokovu Wakati wa Dharura

Mimi hua naweka vibration na ring.... Na usiku ndio saa yangu.
Wakati wa kulala, vibration (mtetemeko) ni bora zaidi kuliko ringtone (mlio) kwa sababu hauna sauti kubwa ya ghafla inayoweza kushtua mfumo wako wa neva au kumwamsha mtu mwingine mliyelala naye chumbani.

Hata hivyo, chaguo salama zaidi kwa afya yako na ubora wa usingizi ni kuzima zote mbili kwa kutumia sehemu ya "Do Not Disturb" (DND) inayozuia simu kuwaka mwanga, kulia, au kutetemeka, huku ikiruhusu tu simu za dharura kutoka kwa watu wako wa karibu.

Pia, ni vyema kuweka simu umbali wa mita moja au mbili kutoka kitandani ili kuepuka kelele za mikwaruzo ya mtetemeko juu ya meza na kupunguza mionzi inayoweza kuvuruga hatua muhimu ya usingizi mzito.
 
Sizimi simu mda wote ipo on silent naweka nikienda kuswali tu

Kuzima simu usiku sio sahihi ata kidogo na hamna mtu anoweza kujitetea vilivyo ila ni ujuaji tu wa mtu

Binadamu tunaishi kwa kutegemeana kwanini uzime simu?
 
Wakati wa kulala, vibration (mtetemeko) ni bora zaidi kuliko ringtone (mlio) kwa sababu hauna sauti kubwa ya ghafla inayoweza kushtua mfumo wako wa neva au kumwamsha mtu mwingine mliyelala naye chumbani.

Hata hivyo, chaguo salama zaidi kwa afya yako na ubora wa usingizi ni kuzima zote mbili kwa kutumia sehemu ya "Do Not Disturb" (DND) inayozuia simu kuwaka mwanga, kulia, au kutetemeka, huku ikiruhusu tu simu za dharura kutoka kwa watu wako wa karibu.

Pia, ni vyema kuweka simu umbali wa mita moja au mbili kutoka kitandani ili kuepuka kelele za mikwaruzo ya mtetemeko juu ya meza na kupunguza mionzi inayoweza kuvuruga hatua muhimu ya usingizi mzito.
Mkuu mimi hua nalala nayo kabisa,,,,, yaani zero distance kumbe sio salama!
 
Umechelewaaa 🀣🀣🀣 niacheee
Hao mababa wanakuwaga wana wake zao ambao ni very cruel an ukija dakwa wewe . Haya sina mengi..

Nishatoroka bagamoyo kwa sasa najitegemea alhamdullilah na nishaacha biashara ya ajabu ajabu
 
Kwa kweli mdogo wangu na hawezi kuacha kujali familia yake et akupe attention
Najua bro ulikua utani tu

So now uko wapi halafu umekua adimu jamvini
Vp na biashara ya tomato
 
Unaposema biashara inaendaje natamani nijifungie nilie aiseeee 😒😒😒
Nimeachana nayo.

Kwa sasa nipo napambana mwili upo safi kabisa.
Kuna matibabu natumia sasa hvi alhamdullilah.. nafikiri mpaka mwezi wa nane mwanzoni taleta ushuhuda hapa aiseeee..

Kuna mda yule mumama anatumaga sms et nende nikamtengenezee Friji ila najua ni mitego maana ukifika unafungiwa ndani.

Huku nipo sana tuu sema ndo hvo kwa sasa kidogo nataka niwe nachangia mada za siasa huko niwe seriously πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™
 
Aiseee polee

Kila la kheri na karibu mdogo wangu

Kemea pepo hilo in Jesus name

Mbona sikuoni huko kwenye jukwa la saiasa na pia kuna mada zangu za falsafa sijawahi kukuona

Achana na zile za kulombanaπŸ€ͺ
 
Mimi bora nisipatikane mchana kuliko kuzima simu usiku.

Mchana kuna alternative nyingi, mtu akikucheki usipopatikana anaweza kutafuta mbadala.

Dharula za usiku mpaka mtu akapiga simu mara nyingi zinakuwa na msukumo wa "trust" na sio "availability"

Dharula za usiku, simu hazipigwi kwa yeyote sio kwasababu haijulikani fulani na fulani muda huo wako hewani na wana uwezo wa kupokea simu.

Inawezekana kabisa huyo mtu anafahamu kwamba fulani muda huu yuko macho ila hajaamua kumpigia, badala yake amekupigia wewe.

Dharula za usiku ni kawaida kuona mtu anahangaika kupiga simu kumtafuta mtu anayekaa mbali bila kujali kumgongea mpangaji mwenzake ambaye milango inaangaliana.

Usizime simu usiku wala kuweka vibration, simu moja uliyo ikosa inaweza kukupa trauma na kujihisi mwenye hatia katika maisha yako yote yaliyobakia.
 
Mimi ukweli madeni ya mtandaoni yamezidi,nadaiwa na kila mtandao! Nikiona namba ngeni tu mavi yanagonga chupi
 
Aiseee polee

Kila la kheri na karibu mdogo wangu

Kemea pepo hilo in Jesus name

Mbona sikuoni huko kwenye jukwa la saiasa na pia kuna mada zangu za falsafa sijawahi kukuona

Achana na zile za kulombanaπŸ€ͺ
Kuna term mkizitaja mnanitoa kwenye focus ndgu zangu..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Nipo kwenye matibabu sitakiwi hata kuskia hayo maneno mnataka kunirudisha kule kule aiseeee
 
Dah aisee baasiii ila nita ku tag sehemu fulani utazidi kupata dawa ta kupona
 
Back
Top Bottom