ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Unakesha na nini?Tafurahi sana .
Alafu nimepatwa na homa moja kali mno aiseee mpaka nashangaa an kukesha tuuu ndo kumesababisha haya yote
Nilikua mtandaoni tuuUnakesha na nini?
Pole jitahidi upata muda wa kulala sio chini ya masaa 6Nilikua mtandaoni tuu
Haijawah kutokea aiseeee masaa sitaPole jitahidi upata muda wa kulala sio chini ya masaa 6
Jitahidi mdogo wangu mzuriiHaijawah kutokea aiseeee masaa sita
Mfano kula usiku nakula sa tano au sita hapo kukaa na mtandaoni ndo kabisa.. sema tajaribu..
Umeanza kutamani tena kurudi tena πHayo mambo ya kulala nilipokua kitengo cha mishangaz nilikua napata mda wa kulala
nakazia hapo kwenye kusanuliwa na wasiojulikana..Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako
Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa.
Nyakati za usiku zimejaa mambo yasiyotabirika, na simu yako ikiwa hewani inafanya kazi kama kiunganishi kikuu cha usalama kwa pande zote mbili.
Kwa upande mmoja, unaweza kuwa nguzo pekee ya matumaini kwa ndugu, rafiki, au jirani anayepatwa na dharura ya ghafla kama vile ugonjwa au uvamizi! na anahitaji msaada wako wa haraka ili kuokoa maisha yake.
Kwa upande mwingine, simu hiyo hiyo inaweza kuwa uokozi wako mwenyewe; watu wanaokujali au mamlaka za usalama wanaweza kukupigia simu kukupa tahadhari ya haraka kuhusu hatari inayokaribia makazi yako, kama vile moto au mafuriko ama wasiojulikana na hivyo kukupa nafasi ya kuchukua hatua kabla ya kuchelewa.
Kuzima simu ni kujitenga na ulimwengu wakati ambao unahitaji ulinzi na mawasiliano kuliko wakati wowote ule.
Nilishakosaga safari yenye marupurupu kwa ajili ya kuzima simu usiku kisa kuogopa madeni...nikapishana na riziki.Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako
Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa.
Nyakati za usiku zimejaa mambo yasiyotabirika, na simu yako ikiwa hewani inafanya kazi kama kiunganishi kikuu cha usalama kwa pande zote mbili.
Kwa upande mmoja, unaweza kuwa nguzo pekee ya matumaini kwa ndugu, rafiki, au jirani anayepatwa na dharura ya ghafla kama vile ugonjwa au uvamizi! na anahitaji msaada wako wa haraka ili kuokoa maisha yake.
Kwa upande mwingine, simu hiyo hiyo inaweza kuwa uokozi wako mwenyewe; watu wanaokujali au mamlaka za usalama wanaweza kukupigia simu kukupa tahadhari ya haraka kuhusu hatari inayokaribia makazi yako, kama vile moto au mafuriko ama wasiojulikana na hivyo kukupa nafasi ya kuchukua hatua kabla ya kuchelewa.
Kuzima simu ni kujitenga na ulimwengu wakati ambao unahitaji ulinzi na mawasiliano kuliko wakati wowote ule.
ππππππππ DaaahJitahidi mdogo wangu mzurii
Kutamani natamani but takemea bana takemea sana maana kila siku ananiita kule et nikamtengenezee friji ππππUmeanza kutamani tena kurudi tena π
Ashindweeeeee kwa jina La Yesu fire π₯ππππππππ Daaah
Kutamani natamani but takemea bana takemea sana maana kila siku ananiita kule et nikamtengenezee friji ππππ
ππππππππ Mwanzoni nilikua najua we mpole.. kumbe na ww mkorofi hiviAshindweeeeee kwa jina La Yesu fire π₯
Nakemea pepo la fridge kuharibika
Amen
Shikilia hapo kwenye upole ndio mimi huyoβΊοΈβΊοΈππππππππ Mwanzoni nilikua najua we mpole.. kumbe na ww mkorofi hivi
ππππππ Hamna hapa aiseeee...Shikilia hapo kwenye upole ndio mimi huyoβΊοΈβΊοΈ
Kisa tu nimekemea hilo pepo linalokunyemelea au π€£ππππππ Hamna hapa aiseeee...
Now i know you...